Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISABELA ASAKA GAUNI LA HARUSI

Stori: Gladness Mallya
MMH! Katika hali ya kushangaza na kuonyesha kwamba ana hamu ya ndoa, msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda hivi karibuni alinaswa akitafuta gauni la harusi wakati hata vikao havijaanza. Msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda. Kikizungumza chanzo makini kilisema mwanadada huyo alikuwa maeneo ya Makumbusho jijini Dar akipita kwenye maduka mbalimbali akitafuta gauni la harusi wakati hata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JAMANI! NDOA ISISHIKILIWE KAMA GAUNI LA HARUSI

NIAlhamisi tena ambayo huwa nakutana na nyie wasomaji wangu ninaowapenda sana.Leo nataka kuzungumza na wanandoa. Ndiyo maana nimeanza kwa kusema hapo juu kuwa, ndoa isishikiliwe kama gauni la harusi. Katika ndoa kuna raha na karaha au shida. Kumbuka kuwa wewe mwanandoa uliapa utaishi na mwenzako katika maisha yote. Hicho kiapo ulikitoa kanisani au msikitini tena kwa kuulizwa mara tatu. Ndoa ni daraja. Kama zima unatakiwa kulivuka...

 

10 years ago

GPL

MSIBA WAKWAMISHA VIKAO VYA HARUSI YA ISABELA

SORRY! Vikao vya maandalizi ya harusi ya msanii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda vimeahirishwa na kusogezwa mbele baada ya kupata msiba wa dada yake. Msanii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda. Akizungumza na gazeti hili, Isabela alisema vikao vya maandalizi vilikuwa vianze Jumapili iliyopita lakini waliahirisha kutokana na msiba hivyo familia imeamua wasubiri mpaka siku arobaini ziishe ndipo waendelee na maandalizi ya harusi....

 

9 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

9 years ago

Mtanzania

Bibi harusi amkimbia bwana harusi

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

 

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.

 Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza

 

10 years ago

Vijimambo

BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO

Bi harusi mmoja kaskazini mwa nchi ya India alifanya maamuzi ya papo kwa hapo kuolewa na mmoja wa wageni waliofika kushereheka naye katika harusi yake baada ya mumewe kuugua ghafla.Mwanamke huyo ajulikanaye kama Indra anayetokea Rampur jimbo la Uttar Pradesh, inaelezwa kuwa sekunde chache kabla ya ndoa ya wawili hao mume akaanguka kifafa, na hivyo kumlazimu kuondoka harusini na kwenda kumwona daktari.Bi harusi Indra, alishikwa na hasira ya hali ya juu, kwakuwa mume alimficha juu ya hali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gauni ya Lupita ya Oscars yapatikana

Nguo aliyovaa mcheazji sinema kutoka Kenya, Lupita, katika Oscars yapatikana baada ya kupotea

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani