Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa Uingereza Alikiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond — Promota

Promota wa muziki na filamu anayefanyia kazi nchini Uingereza, Hadija Seif maarufu kama Dida Fashion amesema wapenzi wa muziki nchini Uingereza wanampenda zaidi Alikiba kuliko Diamond. Dida alisema hayo kwenye mahojiano na Bongo5 hivi karibuni. “Sio sasa hivi tu, tangu zamani to be honest kwa UK Alikiba yupo juu zaidi,” alisema. “Sijui kwanini lakini kwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kwanini lawama kwa promota haziwezi kumwepusha Diamond kupoteza mashabiki

Kutofanyika kwa show ya kimataifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa Diamond jijini Stuttgurt, Ujerumani na kusababisha uharibifu mkubwa, kulichukuliwa na watu wengi kama ajali kazini. Sababu za Diamond kuchelewa kupanda stejini kulikotokana na kudai alipwe fedha yake iliyokuwa imesalia kwa promota, ilikuwa ya msingi kabisa. Na pia kampuni yenyewe iliyoandaa show hiyo […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ashindwa kutokea kwenye show London, mashabiki wamngonja hadi saa 10 alfajiri, amtupia lawama promota

Kwa mara nyingine tena, mashabiki wa Diamond Platnumz wameshindwa kumuona akitumbuiza licha ya kumsubiria hadi saa 10 Alfajiri. Awamu hii imetokea jijini London, Uingereza katika show aliyoitangaza kwa kiasi kikubwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tofauti na Stuttgurt, Ujerumani ambako mashabiki walifanya uharibifu mkubwa, mashabiki wa London waliamua kuwa wapole tu na kurejea […]

 

9 years ago

Bongo5

Malumbano kati ya mashabiki wa Alikiba na Diamond yanaathiri muziki wangu — Abdul Kiba

Mdogo wake na Alikiba, Abdul Kiba amesema muziki wake unaathiriwa na malumbano yasiyoisha kati ya mashabiki wa Kiba na Diamond. Abdul Kiba aliyewahi kutamba na wimbo Kidela aliomshirikisha kaka yake huyo, amekiambia kipindi cha Siz Kitaa kinachorushwa na Clouds TV kuwa mashabiki wa wasanii hao wamekuwa wakimshambulia yeye bila sababu yoyote. “Zimeathiri kwa sababu muziki […]

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Promota wa Diamond mbaroni

HILO

Na Mwandishi wetu

POLISI nchini Ujerumani wamefanikiwa kumkamata Promota mwenye asili ya nchi ya Nigeria ambaye  ndiye  aliyesababisha fujo katika onyesho la  msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ zilizotokea  Agosti  30 mwaka huu  kwenye ukumbi wa Stuttgart nchini Ujerumani .

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka nchini Ujerumani  kilisema  kwamba  Jeshi la Polisi nchini humo kilisema hadi kieleweke kwani watamchukulia hatua kali ili iwe fundisho  kwa mapromota  kama huyo.

 Jumamosi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Promota wa Diamond mbaroni Ujerumani

POLISI nchini Ujerumani wamefanikiwa kumtia mbaroni promota Awin Williams Akpomie, aliyeratibu shoo ya mwanamuziki wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ iliyokuwa ifanyike Agosti 30, mjini Stuttgart na kushindwa kufanyika. Shoo...

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes atoa ushauri muhimu kwa Diamond na Alikiba

Msanii wa longtime kwenye familia ya Bongo Flava ambaye hujiita muasisi wa muziki huo, Dully Sykes amewataka Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao na kufanya kazi pamoja. Dully amedai kuwa Alikiba na Diamond wanatakiwa wafanye kazi waweke tofauti zao pembeni na waingize hela. “Hivi we unadhani itoke nyimbo ya Alikiba na Diamond si itakuwa hatari […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani