Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dully Sykes atoa ushauri muhimu kwa Diamond na Alikiba

Msanii wa longtime kwenye familia ya Bongo Flava ambaye hujiita muasisi wa muziki huo, Dully Sykes amewataka Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao na kufanya kazi pamoja. Dully amedai kuwa Alikiba na Diamond wanatakiwa wafanye kazi waweke tofauti zao pembeni na waingize hela. “Hivi we unadhani itoke nyimbo ya Alikiba na Diamond si itakuwa hatari […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q Chillah

Dully Sykes amedai kushangazwa kusikia watu wazima kama TID na Q Chillah wakilumbana kwa jambo la miaka mingi iliyopita na kwamba mambo kama hayo wanapaswa kuwaachia wadogo zao mathalan Alikiba na Diamond. Dully ameiambia Bongo5 kuwa TID na Q wamemfedhehesha. “Hawa ni watu wazima,” amesema Dully. “Mimi kama kuwazungumzia ninawazungumzia Diamond na Alikiba. Hawa ni […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully, Ebby Sykes

Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu ambazo amezitoa leo. Diamond ambaye wakati msiba huo unatokea alikuwa Zanzibar na mpenzi wake Zari, ameelezea sababu zilizomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi. “Watu waliniona niko zanzibar lakini […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dully Sykes awashauri Diamond, Ally Kiba

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amewataka wakali wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ally Kiba, watoe ‘Collabo’ ili kukusanya mashabiki wa muziki...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Mzee Sykes enzi za uhai wake. Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake. Baba…

 

10 years ago

Vijimambo

BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia

Baba mzazi wa Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki dunian akiwa na umri wa miaka 62. Angetimiza miaka 63 February 24. Mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kwenye mtandao wa Instagram. “Mungu akulaze mahali pema peponi baba angu mm nilikupenda lakin mungu alikupenda zaid nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika!ulikua ni mtu […]

 

10 years ago

CloudsFM

Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes

Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani