OTILIA ALIA NA CHOCKY

GLADNESS MALLYA/Amani MNENGUAJI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo,’ Otilia Boniface amemlilia mkurugenzi wake, Ali Chocky kutokana na kitendo cha kusambaratisha bendi bila kuwataarifu. Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo,’ Otilia Boniface. Akizungumza kwa uchungu na Centre Spread, Otilia alisema hivi karibuni aliumia sana kufuatia kitendo cha Chocky kuchukua vyombo vyake vya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Hongera Alli Chocky na Asha Baraka
11 years ago
GPL
OTILIA APATA PIGO
10 years ago
GPL
OTILIA APIGWA NDOA USIKU
10 years ago
GPL
OTILIA LIVE NA ALLY YANGA
10 years ago
GPL
CHOCKY, NYAMWELA WAREJEA ‘TWANGA’ KWA MBWEMBWE, CHEREKO
11 years ago
GPL
OTILIA SASA KUFUNGA NDOA BOMANI
11 years ago
GPL
FLORA ALIA NA VIBAKA
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Mbunge wa Chadema alia
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Samia alia na alama ‘V’
NA SARAH MOSSI, KOROGWE
MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesema alama ya ‘V’ haijawahi kushika dola duniani kote.
Samia, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wananchi katika eneo la Mombo akiwa njiani kuelekea wilayani Lushoto.
“Sasa hivi vurugu tupu, utawala wa nchi si wa kujaribu, wapeni wenye uthabiti, waliosimama imara na uwezo ndugu zangu, sumu haionjwi,”alisema Samia.
Mapema akiwahutubia wananchi wa Korogwe mjini katika viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi, Samia...