Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OTILIA LIVE NA ALLY YANGA

Richard Bukos, aliyekuwa Geita KATIKA hali iliyoashiria usaliti, Jumapili iliyopita msanii wa Bendi ya ToT, Otilia Boniface alinaswa ‘live’ na shabiki maarufu wa Yanga aitwaye Ally Said ‘Ally Yanga’ wakibusiana. Katika tukio hilo wawili hao walinaswa kwenye Viwanja vya Chato, mkoani Geita wakifanya usaliti huo huku Otilia na njemba huyo wakidaiwa kuziacha familia zao jijini Dar.Wakiwa kwenye starehe zao, paparazi wetu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ALLY KIBA KUANGUSHA BONGE YA SHOO DAR LIVE KATIKA TAMASHA LA MWANA CHINI YA VODACOM TANZANIA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na jinsi anavyojiandaa kuwapagawisha mashabiki wake katika Tamasha la Mwana Dar Live lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam siku ya Pasaka.Wengine katika picha kushoto Msanii wa nyimbo za mchiriku Sueleman Jabiri”Msaga Sumu” na Kiongozi wa kikundi cha Warriors Damian Darada(kulia). Meneja Uhusiano wa...

 

11 years ago

Michuzi

matapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele (pichani) anawaarifu ndugu, jamaa na marafiki pamoja na jamii ya Tanzania kwa jumla kwamba email address yake ya maya@yahoo.comimeibwa na matapeli na kuanza kutumika vibaya (phishing) kwa kudai kuwa yeye yupo Ukraine na amekumbwa  na matatizo hivyo anaomba msaada wa pesa haraka.


Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...

 

10 years ago

GPL

OTILIA ALIA NA CHOCKY

GLADNESS MALLYA/Amani MNENGUAJI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo,’ Otilia Boniface  amemlilia mkurugenzi wake, Ali Chocky kutokana na kitendo cha kusambaratisha bendi bila kuwataarifu. Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo,’ Otilia Boniface. Akizungumza kwa uchungu na Centre Spread, Otilia alisema hivi karibuni aliumia sana kufuatia kitendo cha Chocky kuchukua vyombo vyake vya...

 

11 years ago

GPL

OTILIA APATA PIGO

Stori:  Gladness Mallya
MNENGUAJI wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface amepata pigo baada ya kufiwa na mamamkwe wake aliyejulikana kwa jina la Khadija Salum. Otilia Boniface. Akizungumza kwa masikitiko, Otilia alisema ameumizwa na kifo cha mama huyo kwani aliugua na kupona lakini kilichosababisha kifo chake ni ajali ambapo aligongwa na gari maeneo ya Magomeni, Dar hivi karibuni akapasuka kichwa na kufa papo hapo akiwa...

 

10 years ago

GPL

OTILIA APIGWA NDOA USIKU

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan/Risasi Mchanganyiko
MNENGUAJI mkongwe wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’  Otilia Boniface siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’ alipigwa pingu ya maisha na mchumba wake wa muda mrefu, Ally Kinde. Mnenguaji mkongwe wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’  Otilia Boniface siku ya harusi yake. Ndoa hiyo iliyofungwa usiku nyumbani kwao Mbezi-Juu...

 

11 years ago

GPL

OTILIA SASA KUFUNGA NDOA BOMANI

Stori: Gladness Mallya
JAPOKUWA Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface alibadili dini na kuwa Muislamu baada ya kupata mchumba ambaye ni muumini wa dini hiyo, imebainika anatarajia kufunga ndoa ya bomani kutokana na ndugu zake kutoridhika na uamuzi wake wa awali. Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface Rafiki wa karibu wa Otilia aliyeomba hifadhi ya jina alisema kuwa, mnenguaji huyo aliyepata mchumba...

 

11 years ago

GPL

LIVE MECHI YA MTANI JEMBE: SIMBA 2 - 0 YANGA

Simba line up: Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma. Yanga line up: Juma Kaseja - 29,Mbuyu Twite - 6 ,David Luhende - 3,Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C),Kelvin Yondani "Cotton" - 5, Athuman Idd " Chuji" - 24, Mrisho Ngassa - 17, Frank Domayo - 18, Didier Kavumbagu - 7, Hamis Kiiza - 20, Haruna Niyonzima - 8

...

 

10 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA TAIFA: MTANANGE WA YANGA NA ETOILE DU SAHEL YA TUNISIA

 Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akiruka daluga la Beki wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.Picha zote na Othman Michuzi.Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani