LIVE KUTOKA TAIFA: MTANANGE WA YANGA NA ETOILE DU SAHEL YA TUNISIA
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akiruka daluga la Beki wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.Picha zote na Othman Michuzi.Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMTANANGE WA YANGA NA ETOILE DU SAHEL YA TUNISIA UWANJA WA TAIFA
Goli la kwanza la Yanga katika DK ya 2 tu ya mchezo lilifungwa kwa njia ya penati baada ya Msuva kufanyiwa madhambi ndani ya 18. Na naodha wa Yanga Canavaro akakwamisha wavuni mpira huo kama unavyoona golikipa Etoile akipishana nao na kudaka upepo.
Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa...
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Yanga yaifuata Etoile du Sahel Tunisia
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Yanga kukwaana na Etoile du Sahel
10 years ago
GPLYANGA, ETOILE DU SAHEL NGUVU SAWA
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Majeruhi Yanga kuikabili Etoile du Sahel
10 years ago
GPLYANGA ILIVYOJIFUA LEO KUWAWINDA ETOILE DU SAHEL
10 years ago
MichuziDRFA YAIPA MBINU YANGA KUINYOA ETOILE DU SAHEL
Mwenyekiti wa chama hicho Almasi Kasongo,amesema ili yanga ifanye vizuri katika mechi hiyo na kuwapa raha mashabiki wake na watanzania...
10 years ago
Mtanzania02 May
Pluijm atamba Yanga kuweka historia kwa Etoile du Sahel
NA JUMA KASESA, TUNISIA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Plujim, ameapa kuiandikia historia timu hiyo kwa kuitoa timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Yanga iliyolazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa awali uliopigwa jijini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita, leo inavaana na timu hiyo katika mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza utakaofanyika katika Uwanja wa Olimpique de Sousse utakaoanza saa 3 usiku kwa saa za Afrika...