Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANANGE WA YANGA NA ETOILE DU SAHEL YA TUNISIA UWANJA WA TAIFA


Goli la kwanza la Yanga katika DK ya 2 tu ya mchezo lilifungwa kwa njia ya penati baada ya Msuva kufanyiwa madhambi ndani ya 18. Na naodha wa Yanga Canavaro akakwamisha wavuni mpira huo kama unavyoona golikipa Etoile akipishana nao na kudaka upepo.

Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA TAIFA: MTANANGE WA YANGA NA ETOILE DU SAHEL YA TUNISIA

 Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akiruka daluga la Beki wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.Picha zote na Othman Michuzi.Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaifuata Etoile du Sahel Tunisia

Yanga ya Tanzania imeondoka Dar es Salaam kuelekea Tunisia kwa ajili ya mechi yao ya marudiano na Etoile du Sahel ,Jumamosi.

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE KATI YA YANGA NA AL AHLY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA

 Kikosi cha Yanga   Kikosi cha Al Ahly  Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.  Kiungo mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akitafuta namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Al Ahly ya Misri katika Mchezo unaoendelea hivi sasa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga kukwaana na Etoile du Sahel

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya vilabu ya kombe la Shirikisho barani Afrika watacheza na Etoile du Sahel ya Tunisia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Majeruhi Yanga kuikabili Etoile du Sahel

Mshambuliaji wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho huenda akawa sehemu ya mchezo kati ya klabu yake na Etoile du Sahel ya Tunisia

 

10 years ago

GPL

YANGA, ETOILE DU SAHEL NGUVU SAWA

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Etoile Du Sahel wakati wa mechi yao ya Kombe la Shirikisho iliyopigwa Uwanja wa Taifa, Dar jana. Matokeo yalikuwa sare ya 1-1. Patashika wakati wa mchezo huo wa Kombe la Shirikisho uliomalizika kwa sare ya 1-1. Yanga…

 

10 years ago

GPL

YANGA ILIVYOJIFUA LEO KUWAWINDA ETOILE DU SAHEL

Kocha Pluijm akimuelekeza jambo mshambuliaji, Danny Mrwanda Hassan Dilunga akimtoka Amissi Tambwe huku, Nizar Khalfan (kulia) akijiandaa kutoa msaada Daktari wa Yanga, Juma Sufiani, akimtibu kipa, Ally Mustapha ‘Barthez’…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani