OTILIA APATA PIGO
![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH3Syy1ULw8w*cxJ9OthVyUwzeykpiQ5Z*78VYAOR3tL0wRc0sD9*k6TYw9OFh9Bvb7HYX3UV0dUvSsA4INZTNIY/2otilia.jpg?width=650)
Stori:Â Gladness Mallya MNENGUAJI wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface amepata pigo baada ya kufiwa na mamamkwe wake aliyejulikana kwa jina la Khadija Salum. Otilia Boniface. Akizungumza kwa masikitiko, Otilia alisema ameumizwa na kifo cha mama huyo kwani aliugua na kupona lakini kilichosababisha kifo chake ni ajali ambapo aligongwa na gari maeneo ya Magomeni, Dar hivi karibuni akapasuka kichwa na kufa papo hapo akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnT5wfGNAfNbIhP-m*pIM9BFFvt7f-YlC7v79YAozKeI4zkv2BmoAZ5wmd*K*-WUYOtyHR12JR3SJXjA*QhVj*8JU32pzTL4/IMG_4198.jpg)
KAJALA APATA PIGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnD4pJFdFQUz6qRKmm0jS9au7LRN1KWl7SAm5N91hwjnb9rT1BoaiQts9Y0O5iKB7D3GB0c3pojdhd360eBggFI/DEVOTHA.jpg?width=650)
DEVOTHA APATA PIGO
9 years ago
BBCSwahili12 Sep
Serena William apata pigo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCme3focclntpAKIStUsgD5u0lbrAw*bRYTYHPM05v6prvNOcvaOq9JxJ*0AOe7FriatpSAI99kXKCv1HEpnHrmh/4.jpg?width=650)
SARA MVUNGI APATA PIGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51-Cc9yyfDn2ov6-4rSrc5fahHHyP3f8ykVKiDsQH5Vjkzs5RW3UALG7JTRfjQWJON4NUrskX*v2-ypwZHb9QLH3/Lulu.gif?width=650)
LULU APATA PIGO LA KUFIWA
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Lulu Apata Pigo, Afiwa na Bibi Yake
MSIBA! Staa mwenye umri mdogo anayekimbiza katika filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amepata pigo baada ya kufiwa na bibi yake mzaa mama, Leonadina Mboneko, aliyefariki dunia juzi asubuhi katika Hospitali ya Masana, iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Amani mama mzazi wa Lulu, Lucresia Karugila alisema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu jambo lililomlazimu kumtoa nyumbani kwake Bukoba na kumleta jijini kwa ajili ya kupata...
10 years ago
GPLAMINI APATA PIGO LA TATU NDANI YA MWEZI MMOJA
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Jose Chameleone apata pigo afiwa na mdogo wake AK47
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa dancehall, Emmanuel Mayanja (AK47) ambaye ni mdogo wa mwanamuziki Jose Chameleone, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kudondoka vibaya akiwa bafuni.
Mayanja, ambaye ndiye mdogo pekee wa Chameleone aliyebaki katika lebo yake ya Leon Island Records, baada ya Weasel na Pallaso kujiengua, anaelezwa kufariki dunia katika mji wa Kabalagala, Kampala nchini Uganda,
Kifo chake kilithibitishwa na madaktari baada ya kufikishwa katika hospitali ya Nsambya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZvXzJ70P4sM/XpVuImyF6fI/AAAAAAALm6E/OG5jeEZI3cc-1CAA7vgINF6NyhfLgRcxACLcBGAsYHQ/s72-c/cf4504b5-09e4-45f9-b077-2f7f8a6b7248.jpg)
ALI KIBA APATA PIGO, WASANII WAKE WAWILI WAMKIMBIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZvXzJ70P4sM/XpVuImyF6fI/AAAAAAALm6E/OG5jeEZI3cc-1CAA7vgINF6NyhfLgRcxACLcBGAsYHQ/s320/cf4504b5-09e4-45f9-b077-2f7f8a6b7248.jpg)
Charles James, Michuzi TV
PIGO! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wawili, Killy na Cheesy kutoka Lebo ya Kings Music inayomilikiwa na Supastaa, Ali Kiba kutangaza kujitoa kwenye lebo hiyo.
Taarifa za kujitoa kwa wakali hao zimeanza kusambaa leo baada ya wasanii hao wenyewe kuandika kwenye mitandao yao ya Instagram lakini hawajaweka sababu za kujitoa kwao.
" Naitwa Ally Killy maarufu kama Lilly nikijulikana kama msanii wa Kings Music Records, napenda kuwajulisha fans wangu wote waliokua...