Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHOCKY, NYAMWELA WAREJEA ‘TWANGA’ KWA MBWEMBWE, CHEREKO

Ali Chocky (katikati) akiwa na waimbaji wenzake, Luiza Mbutu (kulia), na Kalala Junior baada ya kutambulishwa. Wanamuziki wa ‘Twanga’ wakiongozwa na Kalala Junior (kushoto) wakiwa na begi ambalo ndani yake alikuwemo mnenguaji Super Nyamwela kama moja ya staili ya kutambulishwa. Baadhi ya wanenguaji wa bendi hiyo wakifungua begi hilo tayari… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Twanga kuwatambulisha Choki, Nyamwela Da’ West

Bendi ya African Stars maarufu kama Twanga Pepeta Ijumaa Juni 12 itafanya onyesho maalum la kumtambulisha mwanamuziki maarufu nchini Ali Choki na wengine waliorejea kwenye bendi hiyo.
Onyesho hilo litafanyika usiku katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.Mratibu wa onyesho hilo Joseph Kapinga wa Keen Arts na Bob Entertainment amesema kuwa onyesho hilo pia litakuwa ni la vunja jungu kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kapinga alisema pia Choki atatumia onyesho hilo kutambulisha nyimbo...

 

10 years ago

GPL

CHOKI, NYAMWELA WATUA RASMI TWANGA PEPETA

Ali Choki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wakitambulishwa rasmi leo. Kulia ni Super Nyamwela na Luiza Mbutu. ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki na dansa wake Super Nyamwela wamejiunga rasmi na Bendi ya Twanga Pepeta leo na kutambulishwa kwa wanahabari katika mkutano uliofanyika Nemax Hotel, Kinondoni jijini…

 

10 years ago

Michuzi

Ally Choki na Super Nyamwela warudisha majeshi Twanga Pepeta

Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu (kati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akimtambulisha Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini, Ally Choki "Mzee wa Farasi" (kushoto) pamoja na Hassan Mussa 'Super Nyamwela ambao wametangazwa kujiunga na bendi ya Twanga Pepeta kwa mara nyingine tena. Pichani toka kushoto ni Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta, Luizer Mbutu, Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini, Ally Choki "Mzee wa Farasi", Hassan Mussa...

 

11 years ago

Michuzi

Utambulisho wa video mpya ya Chereko Chereko - CPwaa

Uzinduzi wa Video mpya ya CPwaa "Chereko Chereko" utafanyika Jumapili hii (8/6/2014) ndani ya New Maisha Club Club. sambamba na uzinduzi huo kundi la wasanii wa kizazi kipya "Wadananda" litatambulisha wimbo wao mpya uitwao "Kidaluse". Watakaosindikiza usiku huo ni pamoja na: Dullayo, Spince Senseme,Wakazi,Dknob,Country Boy,Young Suma,Msami,Gnex, The B est of Kino na The chocolate Dancers.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Bongo5

New Video: Chereko Chereko — CPwaa

Hatimaye Cpwaa ameachia video ya wimbo wake Chereko Chereko uliotayarisjwa na Mesen Selekta. Video imeongozwa na Adam Juma (Next level).

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani