TIMU YA MAGWIJI WA BARCELONA WALIVYOWASILI ZANZIBAR
Kikosi cha Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea Arusha. Rais wa Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Apr
Timu ya Barcelona ilipowasili Zanzibar
10 years ago
VijimamboTIMU YAWACHEZAJI WA ZAMANI WA BARCELONA WAWASILI ZANZIBAR
Kikosi cha Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea Arusha , wakiwa Zanzibar kwa Mualiko wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kutembelea Zanzibar kujionea Vivutio...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPLMAGWIJI WA TANZANIA WALIVYOLALA 2-1 KWA BARCELONA
10 years ago
MichuziMAGWIJI WA KLABU YA BARCELONA WAANZA KUWASILI NCHINI
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI
10 years ago
Michuzi
MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA


10 years ago
GPL
MAGWIJI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi
MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA MACHI 28


10 years ago
Vijimambo10 Apr
HIKI NDICHO KIKOSI CHA TANZANIA KITAKACHO CHEZA NA MAGWIJI WA BARCELONA

Mambo yameshaiva tayari kabisa kushuhudia kandanda safi kati ya magwiji wa Barcelona wakipambana na magwiji wa Tanzania. Hiki ndichi kikosi kitakacho iwakilisha Tanzania siku ya mechi Jumamosi hii. Credit:ShaffihDauda
