Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein ataka matumizi ya huduma za jamii

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinWANANCHI wametakiwa kuzitumia vyema fursa za huduma za jamii zinazopatikana hivi sasa katika maeneo yao zikiwa ni matunda ya utekelezaji wa malengo ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MUONGOZO WA MPANGO HUDUMA ZA AFYA KATIKA JAMII PAMOJA NA MATUMIZI YA DASHBODI YA VIASHIRIA YA AFYA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma maelezo baada ya kuzindua Muongozo wa Mpango wa Watoa huduma ya Afya ya Jamii, Dar es Salaam jana. Wizara ya Afya imezindua muongozo huwa ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya afya na uhamasishaji, lishe, udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza kama Ukimwi na afya ya mama na mtoto.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy...

 

10 years ago

Raia Mwema

Wagharamie hujuma za jamii badala ya huduma za jamii

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII

Na Mwandishi Wetu Arusha

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.

Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...

 

10 years ago

Habarileo

‘Elimisheni jamii matumizi sahihi ya maji’

MAMLAKA za majisafi na usafi wa mazingira nchini zimetakiwa kutumia maadhimisho ya Wiki ya Maji kuelimisha watumiaji wa huduma hizo matumizi sahihi ya maji kukabili ongezeko la Ankara za maji.

 

10 years ago

Mtanzania

Jamii yashauriwa kuzingatia matumizi salama ya mitandao

yusuphNA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

WATAALAMU wa mitandao wametoa wito kwa jamii juu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mawasiliano, mtaalamu wa usalama katika mitandao na uchunguzi wa makosa ya digitali, Yusuph Kileo, alisema matumizi mabaya ya mitandao yasipodhibitiwa yanaweza kuchangia kuyumba kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ataka taarifa za matumizi zisomwe kujenga imani

DSC03381

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Mkalama

MKURUGENZI  mtendaji wa halmashauri ya Mkalama  mkoani singida, Bravo Lyapambile, amewaagiza maafisa watendaji Kata kutoa/kusoma taarifa za michango mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa maabara kwa wakati,ili wananchi waendelee kuamini halmashauri yao.

Amesema kwa njia hiyo wananchi watajenga imani na Halmashauri yao kwamba michango yao...

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida ataka jamii ya Wahadzabe itambuliwe

DSC03400

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile (wa kwanza kushoto) akisoma taarifa yake mbele ya Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone juu ya ujenzi wa mabweni mawili na nyumba ya matroni ambayo iligharimu zaidi ya shilingi 59 milioni.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

MKUU  wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Vicent Kone, ameiomba serikali kupitia Wizara ya elimu na Ufundi, kuitambua Shule ya msingi ya bweni ya kijiji cha  Munguli kuwa ni shule  maalum tu, kwa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII AKEMEA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii Anna Maembe akizungumza na wataalamu wa wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa jana. Kushoto ni Mkuu wa wilaya Moshi Chang'a na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Herbert Bilia. DC wa Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akikabidhi hundi ya shilingi milioni 7 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo Herbert Bilia. Kulia ni Katibu Mkuu wazara ya Meanedeleo ya Jamii aliyetoa hundi hiyo.
Mkuu wa wilaya Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akizungumza wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani