Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU MWALUNYUNGU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika ibada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru/ Masasi, Magnus Mwalunyungu yaliyofanyia kwenye kanisa la Tosamaganga mkoani Iringa Februari 20, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Ngalalekumtwa (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru Masasi, Mhashamu Magnus Mwalunyungu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ashiriki mazishi ya Luteni Kanali mstaafu Kitenga

PG4A9643

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kaburini katika mazishi ya  aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, , marehemu, Luteni Kanali Benedict Kitenga  yaliyofanyika kwenye makaburi ya  Kola, Morogoro mjini Aprili 24, 2015.

PG4A9737

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji Mama Francisca Kitenga baada ya mazishi ya mumewe, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, , marehemu,Luteni Kanali Benedict Kitenga  yaliyofanyika kwenye makaburi ya  Kola , Morogoro mjini Aprili 24, 2015.

PG4A9764

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO WA ANGLIKANI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiweka shada la maua katika kaburi la Askofu Godfrey Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma Aprili 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda ashiriki mazishi ya Dr. Kapiri

PG4A7537

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, nyubani kwa Marehemu, Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7564

Waombolezaji wakiwa  wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, katika mazishi  yaliyofanyika nyubani kwa Marehemu,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda ashiriki mazishi ya KOMBANI mjini Morogoro

IMGS4381

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS4462

Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pind katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa  Morogoro Septemba...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga

1.jpgRais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.ms15.jpgRais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
ms16.jpgRais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.ms17.jpgRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJIJINI MSOGA LEO

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt JAkaya Kkikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015. Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kijijini Msoga

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani