Pinda ashiriki mazishi ya Dr. Kapiri
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, nyubani kwa Marehemu, Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, katika mazishi yaliyofanyika nyubani kwa Marehemu,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iSSIdxLoyGk/VOdm-63FGaI/AAAAAAAHE1s/uxV3SFbXMfg/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
MH. PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU MWALUNYUNGU
![](http://2.bp.blogspot.com/-iSSIdxLoyGk/VOdm-63FGaI/AAAAAAAHE1s/uxV3SFbXMfg/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iP9q4yg4V_c/VOdm-83WAgI/AAAAAAAHE1w/uy-tLeEb7qg/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D9_EcMEErRo/VOdm-4rMKEI/AAAAAAAHE10/IkwstYgRf9U/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Apr
Pinda ashiriki mazishi ya Luteni Kanali mstaafu Kitenga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kaburini katika mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, , marehemu, Luteni Kanali Benedict Kitenga yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kola, Morogoro mjini Aprili 24, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji Mama Francisca Kitenga baada ya mazishi ya mumewe, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, , marehemu,Luteni Kanali Benedict Kitenga yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kola , Morogoro mjini Aprili 24, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
Waziri Mkuu Pinda ashiriki mazishi ya KOMBANI mjini Morogoro
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pind katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa Morogoro Septemba...
11 years ago
GPLWAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO MJINI DODOMA
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MHOGOLO WA ANGLIKANI MJINI DODOMA
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA ASHIRIKI MAZISHI MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN TUPA MKOANI MOROGORO
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA KIMBAU MAFIA