TBS WATAKIWA KUEPUKA VISHAWISHI NA URASIMU NCHI IWE SALAMA NA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe ( wa pili kutoka kulia) akipatiwa maelezo na mtaalam wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuhusu upimaji wa bidhaa mbalimbali unavyofanyika katika maabara ya uhandisi mitambo, Wakati wa ziara aliyoifanya Katibu Mkuu huyo kwenye Ofisi za TBS jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dk. Athuman Ngenya.
Na Roida Andusamile-TBS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Watumishi TBS Watakiwa Kuepuka Vishawishi
Prof. Shemdoe aliyasema hayo hivi karibuni alipotembelea TBS kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.
Prof. Shemdoe alisema ili kuwezesha biasharaTBS inapaswa kufanya kazi kwa...
5 years ago
Michuzi
WATENDAJI SEKTA YA ARDHI OFISI ZA MIKOA WATAKIWA KUEPUKA URASIMU

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mary Makondo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo kwa watendaji wa sekta ya Ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma jana.

Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Nhonge akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Watendaji wa sekta ya ardhi wa ofisi za Ardhi za mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na Manyara yaliyofanyika ofisi...
11 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Waaswa kuepuka vishawishi vya ngono
WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba shule ya Msingi Tagamenda Kalenga Iringa Vijijini wameaswa kudumisha nidhamu, maadili na kuepuka vishawishi vya ngono za umri mdogo badala yake wazingatie masomo ya Sekondari...
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Askofu mstaafu Singida ataka jamii kuepuka vishawishi
Kanisa la Pentekoste (FPCT) la mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
ASKOFU mstaafu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida, mchungaji Paulo Samweli,amewasihi waumini na wananchi kwa ujumla wajenge utamaduni wa kukataa kushawishiwa kirahisi,kwa njia hiyo wanaweza kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kumsababishia washindwe kuishi kwa amani na utulivu.
Askofu Samwel ametoa wito huo wakati akihubiri kwenye ibada ya kawaida ya waumini wa kanisa la FPCT la mjini...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Urasimu wakwamisha wakimbiza wawekezaji
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye amesema kuwa urasimu mkubwa uliopo katika kusimamia masuala ya uwekekezaji umechangia kuwakimbiza wawekezaji.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Tanzania yaongoza EAC kuvutia wawekezaji
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Machinga Complex kuboreshwa kuvutia wawekezaji
JENGO la kisasa la biashara lijulikanalo kama ‘Machinga Complex’, lililopo jijini Dar es Salaam muda wowote kuanzia sasa linatarajiwa kufanyiwa maboresho muhimu, ili kuleta mvuto zaidi wa kibiashara kwa bidhaa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Watanzania wahimizwa kuvutia wawekezaji kwenye kilimo
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu, amewataka Watanzania kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza kwenye kilimo, ili uchumi uweze kukua kwa Watanzania wengi. Dk....
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Dar es Salaam yaongoza kwa kuvutia wawekezaji