Taifa liwe macho na mikataba ya wawekezaji
Tanzania ni taifa lililobarikiwa rasilimali nyingi zikiwamo madini ya aina mbalimbali, ambayo kama kweli zitasimamiwa vizuri zitasaidia kwa haraka kukuza uchumi wetu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Muhongo ataka wawekezaji kuepuka mikataba ya rushwa
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ameyataka mashirika yanayotaka kuwekezaji kwenye Sekta ya Gesi na Mafuta nchini, yajiepushe kusaini mikataba ya rushwa ili kuepuka migogoro ya kimaslahi. Muhongo...
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Ranchi ya Taifa Mkata kupewa wawekezaji
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Mwekezaji: Ni hatari mikataba ya taifa kuwa siri ya viongozi
9 years ago
VijimamboWAWEKEZAJI UTURUKI WAALIKWA KUWEKEZA HIFADHI ZA TAIFA
Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki, Berat Colak (kushoto)...
10 years ago
VijimamboMadaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar
10 years ago
VijimamboTUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA
Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...
10 years ago
Mwananchi14 May
Membe, Lowassa liwalo na liwe
10 years ago
Habarileo01 Apr
JK: Suala la ajira liwe ajenda ya maendeleo
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuweka suala la ajira katika ajenda ya maendeleo, mipango na programu ya Mataifa yote duniani.
11 years ago
Habarileo27 Feb
Wapendekeza Bunge la Katiba liwe na Siwa yake
KAMATI ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Kanuni za Bunge, imependekeza kuwe na Siwa mahsusi yenye uzito wa kilo 4.5 ikiwa na madini ya dhahabu na aluminium. Imependekeza zitengenezwe mbili ili moja iwekwe kama kumbukumbu upande wa Tanzania Bara na ya pili iwe ni kumbukumbu kwa Tanzania Zanzibar.