Wapendekeza Bunge la Katiba liwe na Siwa yake
KAMATI ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Kanuni za Bunge, imependekeza kuwe na Siwa mahsusi yenye uzito wa kilo 4.5 ikiwa na madini ya dhahabu na aluminium. Imependekeza zitengenezwe mbili ili moja iwekwe kama kumbukumbu upande wa Tanzania Bara na ya pili iwe ni kumbukumbu kwa Tanzania Zanzibar.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Feb
Siwa Bunge la Katiba mil. 500/-
SIWA mahususi inayotarajiwa kutengenezwa kwa ajili ya kutumika katika Bunge Maalumu la Katiba, mfano wake umeoneshwa leo huku baadhi ya wajumbe wakitaka suala la gharama litazamwe. Mjumbe Richard Ndassa ambaye ni Mbunge wa Sumve, alisema siwa hiyo yenye kilo 3.5 za dhahabu, gharama yake inaweza kuwa takribani Sh milioni 500 jambo linalopaswa kutazamwa.
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Manyanya: Bunge Maalumu la Katiba liwe la mfano Afrika
11 years ago
Habarileo02 Mar
Bunge Maalumu lafuta mpango wa kununua Siwa
BUNGE Maalumu limefuta mpango wa kununua Siwa ambayo ni alama maalum inayotumika kama kielelezo cha mamlaka ya Bunge hilo, baada ya kubaini ina gharama kubwa.
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Bunge Maalumu la Katiba liheshimu mipaka yake
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Kwanini Makinda amekubali Bunge liwe kichaka cha tuhuma za rushwa?Â
WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Kamati ya Nishati na Madini pamoja na baadhi ya wabunge, wanadaiwa kuhongwa na mbunge mwenzao wa Musoma Mjini, Nimrod Mkono (CCM) pamoja...
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Bunge Maalum la Katiba na kazi pevu iliyo mbele yake Agosti
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA