Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge Maalumu lafuta mpango wa kununua Siwa

Profesa Costa MahaluBUNGE Maalumu limefuta mpango wa kununua Siwa ambayo ni alama maalum inayotumika kama kielelezo cha mamlaka ya Bunge hilo, baada ya kubaini ina gharama kubwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BUNGE LAANDAA SEMINA MAALUMU KUHUSU UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI WA MAWASILIANO NA NAMNA BORA YA KUPOKEA MAONI YA WADAU WAKATI WA KAMATI ZAKE

  Mkurugennzi msaidizi katika Idara ya Kamati kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. Angumbwike Ng'wavi akitoa Mada kuhusu umuhimu kuwa na taarifa za  pamoja za kibunge kwa ajili ya wadau mbalimbali wa Bunge  na namna ya utekelezaji wake wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Bunge kutoka Serikarini na taasisi binafisi. Semina hiyo imeandaliwa na Bunge kupitia mradi wake wa kuwajengea Wabunge na Watumishi uwezo unaofadhiliwa na UNDP.  Maafisa wa Serikali pamoja na Wadau mbalimbali wa Bunge...

 

11 years ago

Habarileo

Siwa Bunge la Katiba mil. 500/-

SIWA mahususi inayotarajiwa kutengenezwa kwa ajili ya kutumika katika Bunge Maalumu la Katiba, mfano wake umeoneshwa leo huku baadhi ya wajumbe wakitaka suala la gharama litazamwe. Mjumbe Richard Ndassa ambaye ni Mbunge wa Sumve, alisema siwa hiyo yenye kilo 3.5 za dhahabu, gharama yake inaweza kuwa takribani Sh milioni 500 jambo linalopaswa kutazamwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Bunge la Kenya lafuta kikao, huku Wakenya wakionywa kuhusu wakati mgumu

Kikao cha bunge nchini Kenya kilichotarajiwa kufanyika siku ya Jumatano katika mji mkuu wa Nairobi kimefutiliwa mbali.

 

11 years ago

Habarileo

Wapendekeza Bunge la Katiba liwe na Siwa yake

KAMATI ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Kanuni za Bunge, imependekeza kuwe na Siwa mahsusi yenye uzito wa kilo 4.5 ikiwa na madini ya dhahabu na aluminium. Imependekeza zitengenezwe mbili ili moja iwekwe kama kumbukumbu upande wa Tanzania Bara na ya pili iwe ni kumbukumbu kwa Tanzania Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 39 WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA LENGO LA KUCHANGISHA FEDHA ZA KUSAIDIA KUNUNUA VITAMBAA MAALUMU VYA WASICHANA

 Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa ,Allan Kijazi(wasita toka kushoto waliosimama)akiwa kwenye picha ya pamoja na Timu ya watu 39 wakiwemo Wakurugenzi wa kampuni ya Vodacom na kampuni mbalimbali za nchini Afrika Kusini kabla ya kuanza zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kununua vitambaa maalumu(Pedi) vya kuwahifadhi wasichana walioko mashuleni wakati wa hedhi. Ofisa mkuu wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Afrika Kusini,Maya...

 

5 years ago

CCM Blog

MPANGO MAALUMU WA KUTOA ELIMU YA AFYA DAR ES SALAAM WAZINDULIWA


  Serikali imezindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kuwapo kwa ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Corona ikiwa ni mwendelezo wa kuwafikia watu wengi katika ngazi ya mtaa.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizundua mpango wa elimu ya afya kwa umma kwa siku 20 ambao utaongozwa na vikundi vya kijamii kwa kushirikiana na Red Cross chini ya Wizara ya Afya.
Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA MPANGO MAALUMU WA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUSHIKA NAFASI ZA UONGOZI

Benki ya CRDB imezindua mpango maalum wa kuwawezesha wafanyakazi wanawake katika nyanja mbalimbali ili  waweze  kushika nafasi za uongozi.
Akizindua mpango huo katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela alisema, Mpango huo ni mahususi katika kuwawezesha wanawake wa CRDB Banki ili waweze kuwa viongozi katika nyanja mbalimbali pamoja na kuwafanya waweze kujiamini na kukamata fursa zilizopo.
Mpago huo ni mwendelezo wa...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yazindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa wakazi wa Dar es Salaam


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongea wakati wa kuzindua mpango huo.
Serikali imezindua mpango maalumu wa kutoa elimu ya afya kwa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kuwapo kwa ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Corona ikiwa ni mwendelezo wa kuwafikia watu wengi  katika ngazi ya mtaa.

Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizundua mpango wa elimu ya afya kwa umma kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani