Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siwa Bunge la Katiba mil. 500/-

SIWA mahususi inayotarajiwa kutengenezwa kwa ajili ya kutumika katika Bunge Maalumu la Katiba, mfano wake umeoneshwa leo huku baadhi ya wajumbe wakitaka suala la gharama litazamwe. Mjumbe Richard Ndassa ambaye ni Mbunge wa Sumve, alisema siwa hiyo yenye kilo 3.5 za dhahabu, gharama yake inaweza kuwa takribani Sh milioni 500 jambo linalopaswa kutazamwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wapendekeza Bunge la Katiba liwe na Siwa yake

KAMATI ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Kanuni za Bunge, imependekeza kuwe na Siwa mahsusi yenye uzito wa kilo 4.5 ikiwa na madini ya dhahabu na aluminium. Imependekeza zitengenezwe mbili ili moja iwekwe kama kumbukumbu upande wa Tanzania Bara na ya pili iwe ni kumbukumbu kwa Tanzania Zanzibar.

 

11 years ago

Habarileo

Bunge Maalumu lafuta mpango wa kununua Siwa

Profesa Costa MahaluBUNGE Maalumu limefuta mpango wa kununua Siwa ambayo ni alama maalum inayotumika kama kielelezo cha mamlaka ya Bunge hilo, baada ya kubaini ina gharama kubwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viapo kutafuna mil. 500/-

BUNGE Maalumu la Katiba litatumia zaidi ya sh milioni 500 kwa siku tatu kama posho za wajumbe ambao kwa siku hizo watakuwa wakifanya shughuli ya kuapa mmoja mmoja. Fedha hizo...

 

11 years ago

Habarileo

Mil.500/- kujenga nyumba za walimu

SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda kuchangisha mil. 500/- Taasisi ya Mkapa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mpango wa Mkapa Fellows awamu ya pili jijini Mwanza wenye lengo la kuimarisha huduma za afya.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watakaochakachua mbolea kutozwa faini sh. mil. 500


NA SELINA WILSON,DODOMA
SERIKALI inakusudia kuongeza viwango vya adhabu ya faini kwa watakaochakachua mbolea kwa kuwatoza faini ya kati ya sh. milioni 100 na sh. milioni 500.
Pamoja na faini hiyo, mbolea itakayobainika kuchakuliwa na kuwa chini ya kiwango itateketezwa baada ya wakaguzi kuthibitisha kwamba imechakachuliwa.
Hayo yamo katika muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mbolea sura namba 378  uliowasilishwa bungeni Jumatano wiki hii na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa muswada huo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yatenga mil. 500/- nyumba za walimu

SERIKALI imetenga sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete alitoa kauli hiyo juzi kwa wananchi wa Tanga wakati...

 

10 years ago

GPL

ZARI AMPA DIAMOND GARI LA MIL.500

Musa mateja
MAMA kijacho wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, amewadhihirishia mashabiki wa bwana’ke huyo kuwa yuko fiti kifedha kwa kumpatia gari aina ya Ferrari 548 Spider lenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 500. Mama kijacho wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani