Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwanini Makinda amekubali Bunge liwe kichaka cha tuhuma za rushwa? 

 WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Kamati ya Nishati na Madini pamoja na baadhi ya wabunge, wanadaiwa kuhongwa na mbunge mwenzao wa Musoma Mjini, Nimrod Mkono (CCM) pamoja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge kwenye ofisindogo za bunge jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 22, 2015. Kikao cha bunge kinatarajiwa kuanza Januari 27, 2015Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kamati Uongozi leoMwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Rajabu Mbarouk akieleza jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wasigeuzwe kichaka cha CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, wanajaribu kujivua lawama za kukwamisha mchakato wa katiba mpya na badala yake wanawatwisha mzigo huo wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)....

 

11 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA KUFUNGUA SEMINA YA 24 YA CHAMA CHA MABUNGE WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA (CPA) KESHO, DAR ES SALAAM,

Spika wa Bunge kesho tarehe 26 Mei 2014 atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Semina ya 25 ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola ambayo itafanyika hapa nchini kuanzia tarehe 25/05/2014 mpaka 31/05/2014.   emina hiyo ambayo ni mfululizo wa hatua za mafunzo na kubadilishana uzoefu kwa Wabunge wa nchi wanachama wa CPA itahudhuriwa na Wabunge zaidi ya 60 toka nchi 18 ambazo ni Australia, Ghana, Seychelles, Kenya Uganda na Nigeria.  Nchi nyingine ni pamoja na Sri Lanka, Bangladesh,...

 

11 years ago

Habarileo

Wapendekeza Bunge la Katiba liwe na Siwa yake

KAMATI ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Kanuni za Bunge, imependekeza kuwe na Siwa mahsusi yenye uzito wa kilo 4.5 ikiwa na madini ya dhahabu na aluminium. Imependekeza zitengenezwe mbili ili moja iwekwe kama kumbukumbu upande wa Tanzania Bara na ya pili iwe ni kumbukumbu kwa Tanzania Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge Bunge la SADC wamchagua Mh. Makinda kuwa Rais mpya wa Bunge hilo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma hotuba yake ya shukrani kwa wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Bunge la SADC ambao ni Maspika na Wabunge kutoka Mabunge ya nchi wanachama wa wa SADC baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Bunge hilo kwa miaka miwili ijayo Mjini Victoria Falls, Zimbabwe. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Bunge la SADC Dkt. Esau Chiviya mara baada ya kukalia kiti cha Urais wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa rasmi kuwa rais wa Bunge hilo.Spika wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Manyanya: Bunge Maalumu la Katiba liwe la mfano Afrika

Wakati nchi nyingi duniani zimelazimika kuunda katiba mpya kwa lengo la kurejesha amani baada ya vita na vurugu kubwa, Stella Manyanya, mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba anaona Tanzania inakaribia kuweka rekodi ya aina yake.

 

9 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE MHE. ANNE MAKINDA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA TUME YA UTUMISHI YA BUNGE LA NIGERIA OFISINI KWAKE LEO

 Spika wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume  ya Utumishi ya Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiongea na  Ujumbe wa Tume ya Utumishi kutoka Bunge la Nigeria walipomtembelea leo Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Ujumbe huo upo nchini kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi na Uendeshaji wa Bunge ambapo Mhe. Makinda aliambatana na wajumbe wa Tume ya Bunge la Tanzania. Kulia kwake ni Kiongozi wa Msafara wa Tume hiyo Mhe. Yepwi Stephen Dako. Bunge la Tanzania leo kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Tuhuma za rushwa ni hisia tu-Wizara

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema tuhuma za rushwa zinazoambatanishwa na kazi ya usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji ni hisia tu za wahusika.

 

10 years ago

Habarileo

20 CCM washikiliwa kwa tuhuma za rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Nkasi mkoani Rukwa, inawashikilia wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwemo diwani wa Viti Maalumu (CCM) aliyemaliza muda wake, wakituhumiwa kutoa na kupokea rushwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani