TIMU ZA FC BONGO NA FC KILIMANJARO ZILITOKA SARE YA MABAO MAWILI MAWILI KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA KTK JIJI LA HELSINKI NCHINI FINLAND
![](http://3.bp.blogspot.com/-jhHRq1Zv5Oo/Vd3FLoPUkUI/AAAAAAAH0OU/Lc5wZWOU4Kc/s72-c/IMG-20150823-WA0028.jpg)
Mechi ilianza kwa kasi na dakika 1 tu ya mchezo fc bongo walipata bao lao la kwanza kwa mkwaju wa penalt lililofungwa na mchezaji wao machachari Abass Kunha.
Kilimanjaro ilikuja juu na kufanikiwa kusawazisha kwa kona iliyopigwa na Richard Joseph ambayo ilimshinda nguvu kipa wa fc Bongo baada ya purukushani ndani ya lango hilo.
Kipindi cha pili kilianza kwa nguvu na kwenye dkk ya 80 Abass Kunha aliongeza bao la pili, vijana wa kilimanjaro waliongeza nguvu na baada ya dkk 5 wakafanikiwa kukomboa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLCoutinho atupia mabao mawili Yanga
10 years ago
MichuziTASWIRA ZA MAPAMBANO MAWILI YA NGUMI MKOANI KILIMANJARO
10 years ago
MichuziFC VITO YAWA KINARA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA HELSINKI CUP 2015, FINLAND
Zaidi ya timu 1,200 zinashiriki michuano hiyo ya nne kwa ukubwa miongoni mwa michuano ya vijana barani Ulaya, inayoendelea kushika kasi jijini Helsinki nchini Finland, ambako Tanzania inawakilishwa na FC Vito...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UYiqaS-39sk/VZBPhayEtlI/AAAAAAAHlQI/p9P0yh5BAtE/s72-c/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
FC Vito ya wilayani Kilwa yaagwaa na kuahidi kurejea na ushindi katika kombe la Helsinki huko Finland
![](http://1.bp.blogspot.com/-UYiqaS-39sk/VZBPhayEtlI/AAAAAAAHlQI/p9P0yh5BAtE/s320/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-BEvjI2AHWn8/VZBPhp1QkTI/AAAAAAAHlQM/6sL8EpEDjyI/s640/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Hl0f2VUPGNg/VVIVCgsYiJI/AAAAAAAAtrc/VdiZA6Z_5-I/s72-c/zkabwe.jpg)
Kitila abainisha madhaifu mawili ya Zitto Kabwe Katika Uongozi
![](http://2.bp.blogspot.com/-Hl0f2VUPGNg/VVIVCgsYiJI/AAAAAAAAtrc/VdiZA6Z_5-I/s640/zkabwe.jpg)
Prof anachambua pamoja na mambo mengine , madhaifu ya Zitto Kabwe na kushauri apatiwe mda wa kujirekebisha aweze kuwa kiongozi wa kitaifa, mapungufu hayo kwa maneno yake mwenyewe Proffessor:Pengine udhaifu mkubwa wa Zitto kama kiongozi upo katika maeneo makubwa mawili.Kwanza, ni kushindwa kupima maana na matokeo mapana ya kauli zake kabla hajazitoa. Mara kadhaa Zitto amekuwa akitoa kauli ambazo huacha ukakasi mkubwa katika jamii.
Kwa mfano, akiwa katika kampeni za ubunge mwaka 2010 alitangaza...
11 years ago
MichuziTANAPA YAKABIDHI MADARASA MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NKOARISAMBU-ARUMERU
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hNbkb14VxzE/VP3aGCjTqsI/AAAAAAAHJKU/qapesK8GZy8/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Watu matatu wafariki dunia Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti
![](http://2.bp.blogspot.com/-hNbkb14VxzE/VP3aGCjTqsI/AAAAAAAHJKU/qapesK8GZy8/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 08/03/2015 Majira ya saa 11:00hrs huko katika kijiji cha Mundemu Kata ya Mundemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma mtu aliyefahamika kwa jina la LEGANGA KAZIMOTO, Mwenye miaka 40, Mkulima na Mkazi wa kijiji cha Mbalawala Manispaa ya Dodoma aliuwawa kwa kupigwa na kitu kizito sehemu mbali mbali za mwili wake na...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wxvgi3NTzMk/U5gsh3OGlXI/AAAAAAAFpwA/AGX3nseXeZI/s72-c/azjh+(435).jpg)
Watu watatu wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili
![](http://1.bp.blogspot.com/-wxvgi3NTzMk/U5gsh3OGlXI/AAAAAAAFpwA/AGX3nseXeZI/s1600/azjh+(435).jpg)
Watu watatu wamefariki Dunia baada ya Magari mawili yenye tela kila moja kuacha njia na kupinduka na kufasabisha vifo vya watu hao na kujeruhi wengine wawili katika ajali iliyotokea Jana Huko Tarafa ya Rondo wilaya ya Lindi Mkoani Lindi.
Ajali hiyo Iliyohusisha gari aina ya HOWO lenye Usajili T270BZU na Tela na T260AZU Pamoja na Lori aina HOWO T871 BTH Tela T 626 BTT yote yaliacha njia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi kamishna msaidizi Renatha Mzinga amethibitsha...