FC Vito ya wilayani Kilwa yaagwaa na kuahidi kurejea na ushindi katika kombe la Helsinki huko Finland
Meneja Mradi wa Sports Development Aid (SDA) Bw. Mohamed Chigogolo akielezea jambo wakati wa hafla ya kuwaaga watoto wanaoenda kushiriki michuano ya Kombe la Helsinki nchini Finland, hafla hiyo imefanyika jana katika ukumbi wa Ubalozi wa Finland jijini Dar es Salaam.Katikati ni Afisa Michezo Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari, Vijana, na Michezo Bw. Nicholaus Bulamile na Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Boniface Wambura.
Balozi wa Finland nchini Bibi....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziFC VITO YAWA KINARA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA HELSINKI CUP 2015, FINLAND
Zaidi ya timu 1,200 zinashiriki michuano hiyo ya nne kwa ukubwa miongoni mwa michuano ya vijana barani Ulaya, inayoendelea kushika kasi jijini Helsinki nchini Finland, ambako Tanzania inawakilishwa na FC Vito...
9 years ago
MichuziTIMU ZA FC BONGO NA FC KILIMANJARO ZILITOKA SARE YA MABAO MAWILI MAWILI KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA KTK JIJI LA HELSINKI NCHINI FINLAND
Kilimanjaro ilikuja juu na kufanikiwa kusawazisha kwa kona iliyopigwa na Richard Joseph ambayo ilimshinda nguvu kipa wa fc Bongo baada ya purukushani ndani ya lango hilo.
Kipindi cha pili kilianza kwa nguvu na kwenye dkk ya 80 Abass Kunha aliongeza bao la pili, vijana wa kilimanjaro waliongeza nguvu na baada ya dkk 5 wakafanikiwa kukomboa...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
FC Vito Malaika kupaa Finland kesho
KIKOSI cha FC Vito Malaika cha Ruangwa mkoani Lindi, kilichopo jijini Dar es Salaam tangu Mei 28, kesho kinatarajiwa kukwea pipa kwenda jijini Helsinki, Finland, kushiriki michuano ya ‘Study Cup...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YAKABIDHI JENGO LA WAUGUZI KATIKA ZAHANATI YA NANGURUKURU WILAYANI KILWA
11 years ago
MichuziTanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu
Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014. Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry Fair’. Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...
11 years ago
Michuziwadau KASUKA NA SALOME WAMEREMETA WILAYANI KILWA
Wadau John Kasuka na Bi salome Joseph wakiwa na nyuso za furaha baada ya kumeremeta
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa Addoh Mapunda ambae ni mwajiri wa bwana harusi akiwapongeza vijana wake
Maharusi wakielekea beach kupata taswira za kumbukumbu Ni wakati wa kuvalishana pete za...
10 years ago
Vijimambo16 Nov
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA KINANA KATA YA CHUMO WILAYANI KILWA WAFANA
Umati wa wakazi wa Chumo waliojitokeza kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Ndugu Abddala Ulega akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa CCM kata ya Tingi kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili kwenye kata hiyo tayari kushiriki ujenzi wa ofisi ya Kijiji.
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mheshimiwa Bernard Membe akisalimia wakazi wa kata ya Tingi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nappe Nnauye akiwasalimu wakazi wa kata ya...
11 years ago
MichuziVijana wa Kiislam Wilayani Kilwa washiriki Mashindano ya Kusoma Quraan
Viongozi wa Dini wilayani Kilwa mkoani Lindi wametakiwa kuhubiri Amani,umoja na mshikamano wanapokuwapo kwenye ibada zao ili kuliombea Taifa lisiingie kwenye vurugu zinazoweza kusababisha uvunjivu wa amani ya nchi Hususan katika mchakato wa katiba mpya
Akihutubia waislam walioshiriki katika shindano la kila mwaka la Usomaji wa Quran,Mkuu wa wilaya ya kilwa,Abdallah Ulega ameeleza kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa katika Kuelimisha na kukemea waumini...