Mabilioni ya Escrow moto
JITIHADA za mawaziri, watendaji wa serikali na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka kuzima kashfa ya ukwapuaji wa sh bilioni 200, unaodaiwa kufanywa katika akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Mabilioni escrow mali ya umma
10 years ago
Mwananchi12 Dec
Marekani yacharuka escrow;Tanzania yakosa mabilioni ya MCC, ni Dola 450 milioni
10 years ago
Vijimambo24 Feb
Mabilioni Uswisi: Ndullu, Masaju kiti moto Machi 9.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-24Feb2015.jpg)
Mbivu au mbichi za vigogo 99 wa Tanzania waliotajwa kuficha mabilioni ya fedha kwenye akaunti za siri nchini Uswiss zitajulikana hivi karibuni, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema.
Kwa mujibu wa Zitto, PAC imewaita Gavana wa Benki Kuu (BoT), Prof. Benno...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe4o6xQFhQnOQn-opSO0yIgIVG5aP7rBQRifWS8lUeDOmk1QvgYzoLGL5RCubcrUuFHFcxLaiq25y7KC8CWc6kfs/BACK100.jpg?width=650)
ESCROW BADO MOTO
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Escrow kaa la moto
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA KASHFA ya madai ya kuchotwa mabilioni ya shilingi kwenye akaunti ya ESCROW, imezidi kuwa moto kutokana na kuibua mjadala mkali bungeni kila kukicha. Tayari serikali iliagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina ili kubaini iwapo malipo hayo kwa Kampuni ya PAP, iliyonunua IPTL, yalifanyika kihalali, ambapo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imepewa jukumu hilo. Hata hivyo, habari za kuaminika...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Ripoti ya escrow yawasha moto
10 years ago
Vijimambo17 Apr
Moto Escrow wambabua Ngeleja jimboni.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngeleja-17April2015.jpg)
Ngeleja ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,...
10 years ago
Habarileo12 Nov
Mjadala wa Escrow wawa moto bungeni
RIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni.
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Kashfa ya Escrow, Jk kuzima au kuchochea moto
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
FREDY AZZAH na SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
IKIWA leo ni siku ya 23, tangu Novemba 29,mwaka huu Bunge lilipopitisha maazimio nane juu ya kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Rais Jakaya Kikwete anatazamiwa kuuzima ama kuchochea moto wa sakata hilo atakapozungumza na wazee wa Jiji la Dar es Saalam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Rais Kikwete leo atazungumza na wazee hao katika...