MGOGORO WA ZIWA NYASA: WAKATI WENZETU MALAWI WAKIPAMBANA KWA TEKNOHAMA SISI WATANZANIA BADO TUNAPAMBANA KWA MANENO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Eq4lzs9ghSs/U-TInuDlO7I/AAAAAAAF96A/99zIjIxmoOw/s72-c/unnamed.png)
Kaka michuzi naomba unichapishie makala yangu kwenye blog yako. Kama tunavyofahamu kwa wakati huu Tanzania ipo katika mgogoro wa ziwa nyasa kati yetu na Malawi wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kutumia mtandao wa Google Map.
Google Map ni mtandao mkubwa ambo unaonyesha Ramani ya dunia nzima kwa kutumia picha ya satellite na watu wengi hususani watalii hutumia mtandao huu kabla ya kwenda mahali husika . Lakini mtandao huu huitaji watu kujaza taarifa zaidi kama kuonyesha mipaka ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa Yaanza leo mjini Maputo
10 years ago
MichuziWANANCHI WA UKANDA WA ZIWA NYASA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA TAARIFA MAALUM ZA HALI YA HEWA KWA WAVUVI, WAKULIMA, WAFUGAJI NA WASAFIRISHAJI KWA WAKATI.
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Malawi: Hakuna mjadala Ziwa Nyasa
![Rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Peter-Mutharika.jpg)
Rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika
NA MWANDISHI WETU
RAIS wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, kwa mara nyingine amesisitiza kuwa Ziwa Nyasa linamilikiwa na nchi yake.
Kutokana na hali hiyo, amesema katu uongozi wake hautarajii kukaa katika meza ya majadiliano na nchi jirani ya Tanzania kuzungumzia umiliki huo.
Mutharika alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juzi mjini Lilongwe kuhusu ziara yake ya hivi karibuni jijini Washington DC, Marekani ambako alikuwa akishiriki...
11 years ago
Habarileo17 Dec
‘Suluhu mpaka Ziwa Nyasa bado’
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imebainisha kuwa hadi sasa jitihada za kusuluhisha mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi, hazijafanikiwa kutokana na ukweli kuwa katika gharama za usuluhishi, Malawi imelipia asilimia 6.6 wakati Tanzania ni asilimia 50.9.
11 years ago
Habarileo27 Mar
Wananchi Malawi, Tanzania kuamua mpaka Ziwa Nyasa
MGOGORO wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi hautatuliwa kisheria, badala yake itakuwa kijamii kwa kuhoji wananchi wa pande husika. Mgogoro huo unahusu mpaka katika Ziwa Nyasa ambao sasa wananchi wa kila upande, watahojiwa juu ya madhara wanayodhani watapata kutokana na mpaka kuwa ndani ya ziwa hilo.
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-tZO2p6odb54/VPMdnOIA7UI/AAAAAAAAXTQ/Tq6c-r5lPcQ/s72-c/026.jpg)
MEMBE ASEMA KAPTENI JOHN KOMBA ALIKUWA SHUHUDA WA MGOGORO ZIWA NYASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-tZO2p6odb54/VPMdnOIA7UI/AAAAAAAAXTQ/Tq6c-r5lPcQ/s1600/026.jpg)
10 years ago
GPLSERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MAocISyxqjs/VFCjGLxupbI/AAAAAAAGt-8/NwJ5d7-JOoQ/s72-c/IMG-20141029-WA0003.jpg)
Yale yaleee....: Wakati Tanzania tunalia kwa udanganyifu wa umri wa Miss Tanzania,Wenzetu Uganda wanalia kwa Sura mbaya wa Mrembo wao
![](http://3.bp.blogspot.com/-MAocISyxqjs/VFCjGLxupbI/AAAAAAAGt-8/NwJ5d7-JOoQ/s1600/IMG-20141029-WA0003.jpg)