MEMBE ASEMA KAPTENI JOHN KOMBA ALIKUWA SHUHUDA WA MGOGORO ZIWA NYASA
Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuhani msiba wa Kapteni John Komba ambapo alisema Komba alikuwa shuhuda kwenye mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa na Malawi.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
VIDEO: Membe asema Komba alikuwa shuhuda kwenye mgogoro wa mipaka
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Capt. John Komba.
10 years ago
Habarileo01 Mar
Buriani Kapteni John Komba
NI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.
10 years ago
GPLKAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPLKAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
10 years ago
Habarileo07 Mar
Sauti ya Kapteni John Komba kuendelea kunguruma CCM
SAUTI ya Kada wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Kiongozi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba, huenda ikaendelea kusikika katika vibao vipya ambavyo alishaviandaa.
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA
Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki February 28.
Leo Mpoki amesikika kwenye Leo Tena CloudsFM, alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo; “..Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo huwezi kumpata tena.. lakini ukimpoteza mbuzi utaenda...
10 years ago
CloudsFM04 Mar
Wanusurika kifo wakienda kumzika Kapteni John Komba.
Watu watatu wakiwemo wanawake wawili na mwanaume mmoja wamenusurika kifo baada ya gari yao yenye namba ya usajili STK 7472 Kupinduka eneo la Tutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe-Songea wakielekea kumzika Kapteni John Komba.Kwa mujibu wa mashuhuda wameiambia Kijukuu Blog kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa saba usiku juzi na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
Source:Kijukuu Blog
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA KIJIJINI KWAKE LITUHI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda pamoja na wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya Tanzania kwenda kumzika marehemu Kapteni John Komba kijijini kwake Lituhi.
Mke wa Marehemu Kapteni John Komba ,Salome (kushoto) akiweka shada la maua juu ya kaburi la marehemu.
Watoto wa marehemu Kapteni John Komba wakiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba yao.
Watoto wa marehemu wakilia...