Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WA UKANDA WA ZIWA NYASA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA TAARIFA MAALUM ZA HALI YA HEWA KWA WAVUVI, WAKULIMA, WAFUGAJI NA WASAFIRISHAJI KWA WAKATI.

Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bi. Theo Ntara  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela (watatu kutoka kushoto), Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Hamza Kabelwa (wa nne kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha inayohusu uboreshaji wa huduma za hali ya hewa katika maeneo ya Ziwa Nyasa kwa sekta ya wakulima na wafugaji, wavuvi na wasafirishaji, tarehe 14 Mei 2015  katika hotel ya Kyela Resort-Mbeya.Kwa chanzo na habari kamili BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA UKANDA WA ZIWA NYASA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA TAARIFA MAALUM ZA HALI YA HEWA



Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bi. Theo Ntara  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela (watatu kutoka kushoto), Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Hamza Kabelwa (wa nne kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha inayohusu uboreshaji wa huduma za hali ya hewa katika maeneo ya Ziwa Nyasa kwa sekta ya wakulima na wafugaji, wavuvi na wasafirishaji, tarehe 14 Mei 2015  katika hotel ya Kyela Resort-Mbeya
Mamlaka ya Hali ya Hewa kwa kushirikiana na Shirika la Hali ya Hewa...

 

11 years ago

Michuzi

MGOGORO WA ZIWA NYASA: WAKATI WENZETU MALAWI WAKIPAMBANA KWA TEKNOHAMA SISI WATANZANIA BADO TUNAPAMBANA KWA MANENO.

Kaka michuzi naomba unichapishie makala yangu kwenye blog yako. Kama tunavyofahamu kwa wakati huu Tanzania ipo katika mgogoro wa ziwa nyasa kati yetu na Malawi wenzetu wameenda mbali zaidi kwa kutumia mtandao wa Google Map.
Google Map ni mtandao mkubwa ambo unaonyesha Ramani ya dunia nzima kwa kutumia picha ya satellite na watu wengi hususani watalii hutumia mtandao huu kabla ya kwenda mahali husika . Lakini mtandao huu huitaji watu kujaza taarifa zaidi kama kuonyesha mipaka ya...

 

10 years ago

Habarileo

RC: Wananchi msipuuze taarifa za hali ya hewa

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel BenderaWATENDAJI wa idara mbalimbali na wananchi wametakiwa kutopuuza taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), kupunguza madhara yanayotokea kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wahimizwa kufuatilia taarifa za hali ya hewa

Na Jackson Monela,

Morogoro.

 

Wakati mvua za masika zikiendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imewataka wananchi kufuatilia kwa makini taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na mamlaka hiyo ili kujihadhari na mvua kubwa zinazoweza kuleta maafa ya mafuriko katika msimu huu.

 

Mkurungezi wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini Dokta Agnes Kijazi amesema mara nyingi kumekuwa na upuuzwaji wa taarifa hizo na mara baada ya majanga kutokea lamawa zimekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA ALAT MKOA WA DODOMA AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA TMA KATIKA KUWAPATIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma Mhe: Athuman Mwenda akipata maelezo ya kina jinsi ya uandaaji wa taarifa za hali ya hewa kwa wakulima ili kufanikisha kauli mbiu ya mwaka huu yenye ujumbe wa ‘Matokeo Makubwa Sasa’-Kilimo ni Biashara, vilevile Mamlaka inatekeleza mkakati wa Taifa wa KILIMO KWANZA.Maelezo hayo yalikuwa yakitolewa na kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi Dkt. Ladislaus Chang’a katika banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa kwenye maonesho ya NaneNane 2014, viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA KWA JAMII KUTOPUUZA TAARIFA ZINAZOTOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI

JAMII nchini imepewa wito wa kuacha kudharau taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya hewa nchini ili kupunguza uwezekano wa kutokea majanga makubwa.
Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, wakati akifungua warsha ya siku mbili kwa wanahabari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hali hewa nchini (TMA).
Bendera ametoa wito huo siku mbili kabla ya TMA kutoa utabili wake wa hali ya hewa wa msimu wa Oktoba mpaka Desemba mwaka huu. Bendera alisema kuwa TMA imekuwa...

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAWA KIVUTIO KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO YA NANENANE MJINI DODOMA

Afisa wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Francis Mariwa   akitoa maelezo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Lukundo  juu ya huduma zinazotolewa na mamlaka hiyo wakati walipotembelea katika banda hilo katika  Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kati yanayofanyika katika viwanja vya  Nzuguni mjini Dodoma.Maonesho hayo yamebeba ujumbe wa  “Matokeo Makubwa sasa”Kilimo ni Biashara.
Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani