Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba bado Zanzibar

SIMBA jana ilishindwa kuonesha makali yake baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

‘Niang bado sana Simba’

??????????????????NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

INATIA shaka! Ndivyo unavyoweza kuielezea hatima ya mshambuliaji Msenegali, Papa Niang kusajiliwa na timu ya Simba, kufuatia kuonyesha kiwango kisichoridhisha kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya timu hiyo dhidi ya Mwadui katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.

Niang aliyewasili nchini Ijumaa iliyopita kusaka ulaji wa kusajiliwa na Simba inayosaka straika hatari wa kufumania nyavu, alicheza kwa dakika 45 tu za kwanza za mchezo huo kabla ya kutolewa kipindi...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA BADO HIKO GONJWA TU

Huku wakiwa na kumbukumbu ya kufugwa mchezo wao wa mwisho wa ligi kuuu ya Tanzania bara , wekundu wa msimbazi Simba Sports Club hii leo waliendelea na mkosi wao baada ya kukubali kipigo cha 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa kombe la Mapinduzi uliopigwa usiku huu.
Simba wakiwa na kikosi cha vijana ambacho kilikuwa chini ya Kocha Suleiman Matola huku wakiwa wanatazmwa na kocha wao mpya Goran Kopunovic aliyekuwa jukwaani akifuatilia mchezo huo , walishindwa kuelewana na kuwaruhusu...

 

11 years ago

GPL

RAGE BADO MWENYEKITI HALALI SIMBA

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage. Ismail Aden Rage ndiye Mwenyekiti halali wa Simba ambapo Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imemtaka kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu ya Simba. Kamati imebaini upungufu kadhaa wa kisheria kwenye uamuzi wa Kamati ya Utendaji ya Simba uliofanywa Novemba 18, 2013 kwa kumsimamisha Mwenyekiti wao. Upungufu huo ni pamoja na ukiukwaji wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Simba juu...

 

9 years ago

Habarileo

Simba bado wajivuta ofa ya Mo Dewji

WAKATI mdau wa Simba, Mohamed Dewji akionesha nia ya kutaka kuwekeza katika klabu hiyo kwa Sh bilioni 20, uongozi wa Simba bado unajivuta kutoa maamuzi huku ukiweka mambo sawa kuwa timu hiyo haiuzwi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr: Simba bado hatujakaa vizuri

Simba imeshinda mechi zake tatu za kirafiki visiwani hapa, lakini kocha wa timu hiyo, Dylan Kerr amesema bado hajapata kikosi anachokihitaji kwa ajili ya mapambano ya Ligi Kuu Bara.

 

9 years ago

Mwananchi

Zanzibar bado hakieleweki

Dalili za kufanyika kwa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar na wawakilishi zinaonekana kuwa finyu kutokana na kutokuwapo maelekezo yoyote ya kuitaka Tume ya Uchaguzi (ZEC) kuanza kuuandaa.

 

9 years ago

Habarileo

Mbuna bado alia kipigo cha Simba

MCHEZAJI wa Majimaji ya Songea, Fred Mbuna amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1, ambacho timu yake ilikipata mwishoni mwa wiki kutoka kwa Simba Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Hatima ya Zanzibar bado kujulikana

Waswahili husema jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Msemo huo unaweza usiwe na maana kwa watu wengine, lakini siyo wananchi wa Zanzibar, waliojikuta wakipoteza ndoto ya kumpata rais waliyemchagua baada ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 visiwani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani