Simba bado wajivuta ofa ya Mo Dewji
WAKATI mdau wa Simba, Mohamed Dewji akionesha nia ya kutaka kuwekeza katika klabu hiyo kwa Sh bilioni 20, uongozi wa Simba bado unajivuta kutoa maamuzi huku ukiweka mambo sawa kuwa timu hiyo haiuzwi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e-2Z7o*z5henT6YsapGXEfl2aG-r9QRYw4IViRh*KlDkCDisiEWAw5407YA4xk3WT0jzj5mDI91sS4jWTl9OEc3/ARIANNAANGEL2344.png?width=650)
OFA! OFA! OFA KUTOKA JAMES COSMETICS
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/ARIANNAANGEL234Y.png)
Ofa! Ofa! Ofa! Pendeza na James Kosmetic
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vDy7qoiW-JA/VFtejHzKHzI/AAAAAAAGvuA/tOebeAMzcWs/s72-c/azim%2Bdewji%2Bna%2Bmajaliwa.jpg)
Azim Dewji awataka wana Simba kuwa Watulivu
![](http://1.bp.blogspot.com/-vDy7qoiW-JA/VFtejHzKHzI/AAAAAAAGvuA/tOebeAMzcWs/s1600/azim%2Bdewji%2Bna%2Bmajaliwa.jpg)
MWANAMICHEZO maarufu nchini, Azim Dewji amewataka wanachama na wapenzi wa timu ya soka ya Simba kuamini timu yao bado ni bora, isipokuwa ipo katika kipindi cha mpito kuelekea katika mafanikio yatakayowashangaza wengi.
Kutokana na imani yake hiyo, ameshauri ni vyema wakatoa ushirikiano wa kila aina kwa viongozi, wachezaji na benchi lote la ufundi, vivyo hivyo akiwataka viongozi kushikamana na wachezaji na benchi la ufundi, badala ya kuanza kunyoosheana vidole.
Aliyasema hayo...
9 years ago
StarTV24 Dec
Mchakato Kuinunua Simba Tarimba aunga mkono dhamira ya Dewji.
Rais wa zamani wa klabu ya Yanga, Abbas Tarimba ameunga mkono dhamira ya Mohamed Dewji kutaka kuinunua klabu ya Simba akisema hiyo ndiyo njia pekee kuinusuru Simba ambayo inazidi kupoteza dira katika ulimwengu wa soka la kimtaifa.
Tarimba ana uzoefu wa kushindwa na pale alipotaka kuifanya Yanga imilikiwe na kampuni lakini akakumbana na vikwazo .
Hicho ndicho kinachotaka kumtokea Mohamed Dewji ambaye anataka kuinunua klabu ya Simba.
Tarimba anasema wanachama wa Simba na Yanga wameshindwa...
9 years ago
Bongo520 Oct
Mohammed Dewji anataka kuinunua klabu ya Simba, kuwekeza bilioni 20
9 years ago
StarTV31 Dec
Uwekezaji Mohamed Dewji Mo  kwa Simba upo hatua za mwisho za mazungumzo
Klabu ya Simba imesema ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo juu ya uwekezaji wa mfanyabiashara maarufu hapa nchini Mohamed Dewji Mo ambaye anatarajia kuwekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 20 katika Klabu hiyo.
Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba Kaburu Nyange,ameiambia Star tv kwa njia ya simu kuwa, Uongozi wa klabu hiyo unafuatilia kwa umakini juu ya uwekezaji huo ambao Wanachama wa Klabu hiyo ndio watakaotoa maamuzi ya mwisho.
Kaburu amesema Klabu hiyo inapaswa kubadilika na kuendeshwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-L30nYYFLfUs/XsOZWzd4b-I/AAAAAAALqvk/syT2iwBZJWY84OgDiyjI8WkLD1tUH2jgwCLcBGAsYHQ/s72-c/20200518_130454.jpg)
MO DEWJI FOUNDATION NA KLABU YA SIMBA WAHITIMISHA ZOEZI LA UGAWAJI WA BARAKOA JIJINI DAR .
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji imehitimisha zoezi la ugawaji wa Barakoa kwa wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam.
Zoezi hilo limehitimishwa kwa watendaji wa taasisi hiyo kukabidhi barakoa kwa ajili ya kujilinda na homa kali ya Mapafu (COVID-19) inayosababishwa na virusi vya corona.
Ikiwa ni siku ya tatu toka kuanza kwa ugawaji wa barakoa hizo, wananchi wamefurahia zoezi hilo la kuwakumbuka wananchi hususani wale...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lxXkLGJZ-2c/XsAnRnt3MMI/AAAAAAALqfI/UAyQtzsIWZ8e4jY580hdEsZvl3aFDRrtwCLcBGAsYHQ/s72-c/5bb50332-4927-4ead-9a73-381cbdc824d7.jpg)
KLABU YA SIMBA,MO DEWJI WAGAWA BARAKOA BURE KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUJIKINGA NA CORONA
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji wametoa msaada wa Barakoa kwa wananchi wa maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Akizungumza na waandish wa habari wakati wa tukio hilo, Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Simba Rispa Hatib amesema tukio hilo ni la siku tatu kuanzia leo Jumamosi na litahitimishwa siku ya Jumatatu.
Amesema, janga hili ni la Dunia na nchi nzima kwa...