Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uwekezaji Mohamed Dewji Mo  kwa Simba upo hatua za mwisho za mazungumzo

 

Klabu ya Simba imesema ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo juu ya uwekezaji wa mfanyabiashara maarufu hapa nchini Mohamed Dewji Mo ambaye anatarajia kuwekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 20 katika Klabu hiyo.

Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba Kaburu Nyange,ameiambia Star tv kwa njia ya simu kuwa, Uongozi wa klabu hiyo unafuatilia kwa umakini juu ya uwekezaji huo ambao Wanachama wa Klabu hiyo ndio watakaotoa maamuzi ya mwisho.

Kaburu amesema Klabu hiyo inapaswa kubadilika na kuendeshwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukimwi bado upo, tusibweteke tuchukue hatua

Dunia yote leo inafanya kumbukumbu ya siku ya Ukimwi, ugonjwa ambao kwa zaidi ya miaka 30 umeitetemesha jamii kutokana na kutokuwa na tiba wala kinga.

 

5 years ago

Michuzi

KLABU YA SIMBA,MO DEWJI WAGAWA BARAKOA BURE KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUJIKINGA NA CORONA

Na, Al-Hasan Muhidin, MichuziTv

Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji wametoa msaada wa Barakoa kwa wananchi wa maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Akizungumza na waandish wa habari wakati wa tukio hilo,  Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Simba Rispa Hatib amesema tukio hilo ni la siku tatu kuanzia leo Jumamosi na litahitimishwa siku ya Jumatatu.

Amesema, janga hili ni la Dunia na nchi nzima kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Ubingwa Simba upo mikoa mitatu

Ndoto ya Simba kumaliza katika nafasi mbili za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania itaamuliwa kwenye viwanja vitatu vya Sokoine (Mbeya), Kambarage (Shinyanga) na Uwanja CCM Mkwakwani mjini Tanga.

 

11 years ago

GPL

UJENZI KATIKA HATUA ZA MWISHO

Ujenzi wa barababara ya mabasi yaendayo kasi ukiendelea  kituo cha mabasi  cha Urafiki. Kamera yetu leo hii imenasa hatua za mwisho za ujenzi wa vituo vya mabasi yaendayo kasi katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Vijimambo

Mazungumzo na Mhe. Balozi Mustafa Nyang'anyi.... Sehemu ya mwisho

Karibu sana na asante kwa kujiunga nasi katika kipindi hiki cha HUYU NA YULE
Tumepata fursa ya kuongea na Mhe. Balozi Mustafa Nyang'anyi
Tumefanya mazungumzo naye ya sehemu nne, kueleza safari yake kimaisha
Na katika sehemu hii ya nne na ya mwisho ya mazungumzo yetu, Mhe Balozi Nyang'anyi anaanza kuelezea
1:Tukio la ugaidi la Septemba 11, 2001  - walivyopata taarifa (kama wanadiplomasia), na kilichofuata
2: Jukumu la kukuza mwanya wa biashara kati ya Marekani na Afrika, ambalo lilisababisha...

 

10 years ago

Michuzi

Mazungumzo na Mhe. Balozi Mustafa Nyang'anyi....Sehemu ya mwisho

Karibu sana na asante kwa kujiunga nasi katika kipindi hiki cha HUYU NA YULETumepata fursa ya kuongea na Mhe. Balozi Mustafa Nyang'anyiTumefanya mazungumzo naye ya sehemu nne, kueleza safari yake kimaishaNa katika sehemu hii ya nne na ya mwisho ya mazungumzo yetu, Mhe Balozi Nyang'anyi anaanza kuelezea1:Tukio la ugaidi la Septemba 11, 2001  - walivyopata taarifa (kama wanadiplomasia), na kilichofuata2: Jukumu la kukuza mwanya wa biashara kati ya Marekani na Afrika, ambalo lilisababisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani