Ukimwi bado upo, tusibweteke tuchukue hatua
Dunia yote leo inafanya kumbukumbu ya siku ya Ukimwi, ugonjwa ambao kwa zaidi ya miaka 30 umeitetemesha jamii kutokana na kutokuwa na tiba wala kinga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Chalinze kama Kalenga, tuchukue hatua
UCHAGUZI mdogo wa ubunge katika Jimbo la Chalinze umekwisha huku idadi ya wapiga kura ikizidi kupungua siku hadi siku. Kila uchao tumeendelea kushuhudia chaguzi nyingi hasa za marudio, kuanzia ngazi...
10 years ago
Mwananchi05 Mar
Tuchukue hatua mapema kuepuka majanga
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Inatosha kukanusha ama tuchukue hatua?
ARGUE, don’t shout (Jenga hoja, usipige kelele). Hivi ndivyo wasomi wabobezi wanatutaka tufanye katika kujadili masuala. Hatupaswi kutunisha misuri, kupayuka, kutweta na kutukana ama kubishana pasipo kuonesha ushahidi wa vielelezo....
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Tunataka watu wangapi wafe Kiteto ndipo tuchukue hatua?
UKIFUATILIA migogoro ya ardhi nchini na jinsi ilivyoleta athari, unaweza kujiuliza kwanini Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, asijiuzulu. Hakuna ubishi kwamba suala la migogoro ya...
9 years ago
StarTV31 Dec
Uwekezaji Mohamed Dewji Mo  kwa Simba upo hatua za mwisho za mazungumzo
Klabu ya Simba imesema ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo juu ya uwekezaji wa mfanyabiashara maarufu hapa nchini Mohamed Dewji Mo ambaye anatarajia kuwekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 20 katika Klabu hiyo.
Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba Kaburu Nyange,ameiambia Star tv kwa njia ya simu kuwa, Uongozi wa klabu hiyo unafuatilia kwa umakini juu ya uwekezaji huo ambao Wanachama wa Klabu hiyo ndio watakaotoa maamuzi ya mwisho.
Kaburu amesema Klabu hiyo inapaswa kubadilika na kuendeshwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Kama upo hai bado kuna matumaini
NIANZE na nilichokiona juzi wakati napita maeneo fulani jijini Dar es Salaam. Kilikuwa ni kitu cha kusikitisha ambacho kama vijana lazima tukiwekee mkazo na tujifunze. Mara nyingi tumejikuta tukifanya uamuzi...
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Zaidi ya miaka 30, ukimwi bado tishio