Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAGE BADO MWENYEKITI HALALI SIMBA

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage. Ismail Aden Rage ndiye Mwenyekiti halali wa Simba ambapo Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imemtaka kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu ya Simba. Kamati imebaini upungufu kadhaa wa kisheria kwenye uamuzi wa Kamati ya Utendaji ya Simba uliofanywa Novemba 18, 2013 kwa kumsimamisha Mwenyekiti wao. Upungufu huo ni pamoja na ukiukwaji wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Simba juu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Shein: Mimi bado rais halali Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, amesema yeye bado ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar huku akiwataka wasioamini katiba hiyo, wapeleke shauri hilo Mahakama Kuu ya Zanzibar yenye uwezo pekee wa kutafsiri katiba.

 

9 years ago

Mwananchi

Mimi bado rais halali Fifa, adai Blatter

Siku moja baada ya kufungiwa miaka minane, aliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter ameibuka na kueleza kuwa yeye bado ni kiongozi wa shirikisho hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Rage alalama Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema amesikitishwa na madai kuwa hakuhusika na ushindi dhidi ya Yanga.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yamtambua Rage Simba

>Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF, imemtaka mwenyekiti halali wa Simba, Ismail Rage kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Rage ajivua lawama Simba

>Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema kuwa lawama za kutokumsajili mshambuliaji wao wa zamani kutoka Uganda, Emmanuel Okwi zielekezwe kwa Kamati ya Usajili na Ufundi wa timu hiyo na wala siyo yeye.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba wamwendea Rage bungeni

HARAKATI za kumwondoa madarakani Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutuvengere’, zimezidi kushika kasi baada ya wanachama kuamua kufunga safari kutoka jijini Dar es Salaam hadi mjini Dodoma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage akabidhi ofisi Simba

HATIMAYE aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, jana alikabidhi rasmi ofisi Makao Makuu ya klabu hiyo kwa Rais Evans Aveva na kamati yake ya utendaji, ikiwamo mikataba mbalimbali iliyosaini...

 

11 years ago

GPL

Rage anusurika kipigo Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage (kushoto) akiongea na wanachama wa Simba siku ya jana Jumapili. Na Sweetbet Lukonge
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage, jana Jumapili alinusurika kuchezea kichapo kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo katika Mkutano Mkuu wa Katiba uliofanyika kwenye Ukumbi wa Maofisa wa Polisi uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani