Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO ATESWA KWA WAYA...

MKE wa rais, mama Salma Kikwete alizungumza kweli kwamba, mtoto wa mwenzio ni wako! Lakini sivyo kwa mtoto Suleiman Riziki (4), mkazi wa Pugu Kinyamwezi, jijini Dar es Salaam ambaye amejikuta katika wakati mgumu kufuatia madai kwamba amekuwa akiteswa  na mama yake wa kufikia hadi kudhoofika afya. Kwa mujibu wa baba mzazi wa mtoto huyo, Riziki Suleiman, mateso hayo yalikuwa yakitendwa na mwanamke huyo aliyemtambulisha kwa jina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTOTO ATESWA SIKU 730!

Stori: Deogratius Mongela
SIKU 730 au miaka miwili ya unyama na ukatili uliombatana na vipigo mfululizo, vimempa wakati mgumu katika maisha mtoto wa miaka 15, Melina aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea  kijijini Ishozi- Kiziba, Kagera kwa lengo la kufanya kazi za ndani, yaani ‘hausigeli’. Mtoto Melina wa (15) aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea kijijini Ishozi-...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili

>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je umejaribu kutembea juu ya waya ?

Bwana mmoja ametembea juu ya mji wa Chicago huko Marekani juu ya waya akiwa amefunga macho.

 

5 years ago

Forbes

Milky Way’s Warp Is Likely Due To Recent Collision With Nearby Dwarf Galaxy

Milky Way’s Warp Is Likely Due To Recent Collision With Nearby Dwarf Galaxy  Forbes

 

5 years ago

The FADER

Lil Uzi Vert responds to accusations that he plagiarized his “That Way” cover art

Lil Uzi Vert responds to accusations that he plagiarized his “That Way” cover art  The FADERLil Uzi Vert Debuts Three Singles In The Top 10 Of The Billboard Hot 100 Chart  GeniusLil Uzi Vert Responds to Artist Claiming He Stole Painting for "That Way" Cover Art  ComplexLil Uzi Vert Is No. 1 as Streaming Holds Strong During Pandemic  The New York TimesLil Uzi Vert Debuts Three Eternal Atake Songs on Hot 100  XXLMAG.COMView Full coverage on Google...

 

9 years ago

MillardAyo

Victoria Kimani kaanza mwaka na hii Officall Video ‘All The Way’ Feat. Khuli Chana…

Staa wa Kenya Victoria Kimani ameufungua mwaka 2016 kwa kuidondosha Video ya ngoma yake mpya ‘All The Way’ ndani akiwa amemshirikisha msanii Khuli Chana. Nakukaribisha hapa kuitazama mtu wangu.     Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze […]

The post Victoria Kimani kaanza mwaka na hii Officall Video ‘All The Way’ Feat. Khuli Chana… appeared first on...

 

11 years ago

GPL

JB ATESWA NA MAJUNGU

Na Imelda Mtema
BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi, angechepuka. BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, JB alisema licha ya umri wake mkubwa katika tasnia ya filamu lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na mbaya zaidi ni ngumu kulidhibiti. “Kusema ukweli...

 

11 years ago

GPL

WOLPER ATESWA MTANDAONI

STORI: Erick Evarist STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa anaumizwa na mashabiki wanaomshushia lawama kwa kila anachofanya. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper. Akizungumza na paparazi wetu, Wolper alisema wakati mwingine na yeye ni binadamu lakini kila anachokifanya, wafuasi wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakimporomoshea lawama. “Nashangaa kabisa kuna watu hata ufanye jema wao ni lawama,...

 

11 years ago

GPL

TIKO ATESWA NA MKOROGO

Stori: Imelda Mtema MSANII wa Bongo Movies, Tiko Hassan amedaiwa kuteswa na madhara ya mkorogo kiasi cha kumfanya  shindwe kutoka ndani. Msanii wa Bongo Muvi, Tiko Hassan katika pozi. Vyanzo makini vimedai, staa huyo amekuwa na weusi usoni kutokana na matumizi ya mkorogo. Alipoulizwa kuhusu ishu hiyo, Tiko alijibu: “Kweli nimejifungia ndani sana siku hizi yawezekana ndiyo sababu ya kuwa na weusi lakini si… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani