Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


January: Nagombea urais 2015 kutekeleza vipaumbele vinne

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA ATANGAZA NIA YA URAIS, ATOA VIPAUMBELE VYAKE 5

January Makamba akitangaza nia ya Urais leo. Wananchi wakifuatilia hotuba ya Mhe. Makamba katika Ukumbi uliopo Mlimani City, Dar. Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia CCM, ataja vipaumbele vyake vitano vikiwemo Kuinadi ilani ya CCM, Huduma bora za Jamii, Usimamizi uchumi na Kulinda amani na usalama. Mhe. January ametangaza…...

 

9 years ago

StarTV

ACT na vipaumbele vinne

Ni elimu, hifadhi ya jamii, afya na uchumi shirikishi, Zitto: Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu walewale By Suzan Mwillo, Mwananchi Dar es Salaam. Chama cha ACT – Wazalendo kimezindua kampeni na ilani yake kikiahidi kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa yenye vipaumbele vinne endapo kitapewa ridhaa ya kushika dola. Akizungumza jana kwenye uzinduzi uliofanyika katika Viwanja vya Zakhem Mbagala, jijini hapa, mgombea urais wa chama hicho, Anna Mghwira alisema Serikali hiyo itaundwa na viongozi...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT yaahidi vipaumbele vinne

Chama cha ACT – Wazalendo kimezindua kampeni na ilani yake kikiahidi kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa yenye vipaumbele vinne endapo kitapewa ridhaa ya kushika dola.

 

10 years ago

Habarileo

January-Nimejipanga kushinda urais 2015

NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hakuna mwanasiasa yeyote anayemhofia kuwa kikwazo katika harakati zake za kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangaza nia hiyo Aprili mwaka huu. Januari alitangaza nia hiyo alipokuwa akihojiwa katika kituo cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

 

11 years ago

Mwananchi

January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hatakatishwa tamaa na hatorudi nyuma katika harakati zake anazoziita za fikra mpya na mawazo mapya za kushika dola na kwamba wazee wakae kando.

 

11 years ago

Dewji Blog

January Makamba atangaza kugombea Urais 2015.

january-makamba

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.

*Nape asema hakufanya makosa

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

Makamba, mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema, alijipigia debe kuwa iwapo atapitishwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Makamba atangaza kumnadi January urais 2015

Mbio za urais ndani ya CCM zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba kutangaza rasmi kumuunga mkono mtoto wake, January Makamba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba

WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani