Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hatakatishwa tamaa na hatorudi nyuma katika harakati zake anazoziita za fikra mpya na mawazo mapya za kushika dola na kwamba wazee wakae kando.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

January-Nimejipanga kushinda urais 2015

NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hakuna mwanasiasa yeyote anayemhofia kuwa kikwazo katika harakati zake za kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangaza nia hiyo Aprili mwaka huu. Januari alitangaza nia hiyo alipokuwa akihojiwa katika kituo cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

 

11 years ago

Dewji Blog

January Makamba atangaza kugombea Urais 2015.

january-makamba

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.

*Nape asema hakufanya makosa

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

Makamba, mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema, alijipigia debe kuwa iwapo atapitishwa...

 

11 years ago

Mwananchi

January: Nagombea urais 2015 kutekeleza vipaumbele vinne

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Makamba atangaza kumnadi January urais 2015

Mbio za urais ndani ya CCM zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba kutangaza rasmi kumuunga mkono mtoto wake, January Makamba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba

WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba achukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais 2015

MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akisaini kuchukua  fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
January Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto...

 

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS 2015 JANA DODOMA

Mbunge wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, January Makamba  akisaini kuchukua  fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali isirudi nyuma kuhusu mashine za EFD

Tumeendelea kushuhudia vitimbi na migomo inayofanywa na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam na katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwamo Mwanza na Morogoro. Lengo la wafanyabiashara hao ni kugomea matumizi ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFD) zinazotumiwa kutambua kiasi cha kodi kinachopaswa kutozwa kwa kila mfanyabiashara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani