Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli ataja vipaumbele 25

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amefungua pazia la kampeni za chama hicho kwenye Viwanja vya Jangwani katika tukio lililohudhuriwa na maelfu ya wananchi, huku akieleza mambo 25 atakayoyafanya iwapo Watanzania watamchagua kuwa Rais wa Awamu ya Tano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Museveni ataja vipaumbele

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amezindua ilani yake ya chama na kutaja vipaumbele vyake kwa awamu nyingine ya utawala 2016 kwamba ni elimu na Afya.

 

9 years ago

Mtanzania

Manji ataja vipaumbele vyake

Manji_fullNA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAAM

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, amesema akishinda atahakikisha anaanza na elimu, afya, kuboresha huduma ya maji na kutoa ahadi kwa vijana.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika Viwanja vya Zakhem.

“Suala la elimu limekuwa tatizo katika kata hiyo, hivyo nitatoa shilingi milioni 200 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia kujenga miundombinu ya elimu,” alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Mosha ataja vipaumbele vyake Moshi Mjini

Mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha (CCM), ameahidi kujenga soko la kisasa la kimataifa katika eneo la King George Memorial lililopo soko la mitumba.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Waziri Wassira ataja vipaumbele vya Serikali

>Serikali imetaja vipaumbele vyake katika mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni nishati, uchukuzi, kilimo, elimu, maji na utafutaji wa rasilimali fedha.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Habari, Mhe. Nape Nnauye aripoti ofisini, ataja vipaumbele vyake

NAPE AKIKARIBISHWA NA NAIBU WAZIRI -9778

Naibu waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia James Wambura (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika ofisi za wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIKARIBISHWA NA LILI BELEKO 9798

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia) akimkaribisha kwa furaha Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIONGEA NA WAANDISHI -9893

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMAA MHINA 'PIJEI' ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE

Hapa ikionesha fomu baada ya kukabidhiwa. Kada wa CCM Jumaa Mhina 'Pijei' (katikati), akipokea fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe leo mchana. Anaye shuhudia kulia ni Kada wa chama hicho anayewania ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CCM, Ramadhan Ndanga 'Potipoti'. Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimpa maelezo ya kufuata baada ya kukabidhiwa fomu hizo.
Waandishi wa habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli ajiwekee vipaumbele vinavyotekelezeka

Rais John Magufuli amelifungua Bunge la Kumi na Moja kwa kutoa hotuba nzito inayoonesha azma yake ya kupambana na kero zinazowakabili wananchi. Kwa yeyote aliyemsikiliza vizuri aliamini kuwa ile ni hotuba yake inayowafahamisha Watanzania nia yake thabiti ya kupambana na kutatua matatizo yao.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ataja wizara tatu atakazohangaika nazo zaidi

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Mapinduzi, ameanza kuweka hadharani mawaziri watakaopata shida katika uongozi wake, kutokana na kazi zitakazokuwa mbele yao.

 

9 years ago

StarTV

ACT na vipaumbele vinne

Ni elimu, hifadhi ya jamii, afya na uchumi shirikishi, Zitto: Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu walewale By Suzan Mwillo, Mwananchi Dar es Salaam. Chama cha ACT – Wazalendo kimezindua kampeni na ilani yake kikiahidi kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa yenye vipaumbele vinne endapo kitapewa ridhaa ya kushika dola. Akizungumza jana kwenye uzinduzi uliofanyika katika Viwanja vya Zakhem Mbagala, jijini hapa, mgombea urais wa chama hicho, Anna Mghwira alisema Serikali hiyo itaundwa na viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani