Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUANDAA HARUSI YAKO

Usishangae kuona makala hii kuhusu harusi. Naandika kutokana na uzoefu wa kuwa kwenye kamati nyingi za maandalizi ya harusi. Unapokuwa kwenye kamati hizo kuna vitu vingi ambavyo vimekuwa vikijitokeza na vijana wengi hatuvijui au kutotilia maanani na mwisho wa siku sherehe inakwisha na mambo ni kama ya sherehe nyingine ya ndugu yako au rafiki yako.

Kwa ufupi kunakuwa hakuna ubora wa harusi au mwenendo mzima unakuwa hauko vizuri.
Kuna familia ambazo wanajitahidi kupanga vizuri na kufanya sherehe...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Unajua mambo ya kuzingatia wakati unapoweka malengo katika maisha?

Je una malengo uliyoweka katika maisha yako? Kama unayo uliyaweka lini na una hakika kama uliyaandaa inavyostahili? Kama huna malengo ama unayo lakini huna hakika kama yameandaliwa inavyopasa usisikitike kwa sababu hii ni changamoto inayowakabili watu wengi katika maisha.

 

10 years ago

Bongo Movies

RAY: Bora Kujipanga Mwenye Kwenye Harusi Yako

Muigizaji na muongozaji wa filamu Vicent Kigosi  “Ray” akiongea kwenye kipindi cha Television cha  Boys Boys kinachorushwa na kituo cha TV1. Alionekana kupinga swala watu wenye pesa zao lakini bado wanasumbua watu kwa michango ya harusi hivyo akashauri ni bora mtu kabla ya kuoa ajipange na sio kusumbua watuna kadi za michango.

 “Sio mtu unawapa watu mizigo isiyo ya kwao,” alisema. “Kama una uwezo fanya mwenyewe, kwa sababu katika maisha tunaambiwa kuna vitu vitatu, kuzaliwa, harusi na...

 

10 years ago

Michuzi

ZINGATIENI WELEDI WAKATI WA KUANDAA MAANDIKO YA MIRADI - MWANRI

Na Saidi Mkabakuli.
Wapanga mipango nchini wameaswa kuzingatia weledi wakati wa kuandaa maandiko ya miradi yanayowasilishwa kwa wafadhili ili kuongeza ushindani dhidi ya nchi nyingine wakati wa uwasilishaji wa maombi ya kupatiwa ufadhili wa miradi ya maendeleo.
Wito huo umetolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati alipofanya mazungumzo na viongozi waandamizi kutoka wizara za viwanda na biashara, fedha, uchukuzi, nishati na madini pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

MWANRI: ZINGATIENI WELEDI WAKATI WA KUANDAA MAANDIKO YA MIRADI

 Kaimu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wizara za viwanda na biashara, fedha, uchukuzi, nishati na madini pamoja na viongozi waandamizi kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Zanzibar.  Bibi Maryam Khamis (Wapili kulia) Mtaalam wa uchumi kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Zanzibar akizungumza katika kikao hicho.  Pichani ni baadhi ya viongozi waliohudhuria Kikao hicho. Kushoto ni Mkurugenzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya kuzingatia kabla ya kukopa

Mkopo ni makubaliano ya kupeana fedha au vitu kwa lengo la kurudisha fedha/vitu hivyo baada ya muda fulani, kama zilivyo au zikiwa na ziada au riba.

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AWATAKA WATUMISHI KUZINGATIA UTII WAKATI WA KAZI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewaasa Watumishi wachanga na wale wanaoendelea na Majukumu  yao kwa sasa katika Taasisi za Umma na zile Binafsi kuzingatia kwa kina suala la Utii kwenye utekelezaji wa Kazi za kuhudumia Jamii mahali popote pale.
Alisema Utii ndio dhana nzito, sahihi na inayobeba ngao kubwa kwa Mtumishi ye yote na matokeo yake hujikuta akipata fursa nyingi zinazomuwezesha kuheshimika sambamba na kupanda daraja katika maeneo yake ya Kazi.
Balozi Seif Ali...

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo muhimu ya kuzingatia uzazi salama

Uzazi ni suala la msingi linalotawala viumbe vyote vilivyo hai duniani.

 

10 years ago

GPL

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJAMZITO

Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke. Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua. Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya kuzingatia katika mkataba wa ajira

Kama ilivyo kwa mikataba mingine, uhalali wa mkataba ni lazima ujengwe katika nguzo kuu tano ambazo ni makubaliano, hiari ya kuingia mkataba, malipo halali, uwezo wa kuingia mkataba pamoja na uhalali wa shughuli yenyewe itakayofanyika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani