Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAIKOLOJIA : Jinsi ya kutumia propaganda katika maisha yako

Mmoja wa wasomaji wangu aliyesoma makala yangu niliyoitoa Septemba 2014 niliyoiita “Propaganda za Wafanyabiashara” ameniomba nieleze zaidi kuhusu propaganda. Hususan, nieleze kama propaganda hutumika katika biashara tu au hata katika shughuli nyingine na kama propaganda ni kitu kizuri au kibaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Unajua jinsi ya kukabiliana na vikwazo katika maisha yako?

Kama ungeulizwa ni vitu gani vinakukwaza katika maisha, nina hakika ungeorodhesha vitu vingi kama vile kukosa nyumba, kukosa gari, kukosa kazi ya mshahara mzuri, kukosa ushirikiano na watu wanaokuzunguka na vikwazo vingine kadha wa kadha.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, una malengo katika maisha?

Je, leo unapofikiria maisha yako yaliyopita, unafurahi na kuridhika kuwa uliyaendesha vizuri au hauridhiki? Watu wengi husikitika hadi wakasema kama wengebahatika kupata nafasi kurudia maisha, wasingeishi kama walivyo sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Je,unajua jinsi ya kuyafanya maisha yako yawe na shangwe ?

Siku hizi katika kila mji ninakokwenda, nastaajabu kuona nguzo za mabomba zinazochomoza kwenye mapaa ya nyumba na juu yake kumetundikwa vitu vya maumbo mbalimbali. 

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : maamuzi na vitendo vyao vinaweza kukufanyia maajabu katika maisha

Je, kadri unavyokumbuka kuna jambo lolote ambalo uliamini ukilitenda lingeweza kukuletea maendeleo makubwa katika maisha yako, lakini hukulitenda na hujalitenda hadi leo? Kama wewe hujawahi kukabiliwa na tatizo kama hili, basi wewe ni mtu mwenye bahati katika maisha.

 

10 years ago

Mwananchi

unaweza kukabiliana na fadhaa katika maisha yako?

Je, unapofikwa na maafa huwa unafadhaika kiasi kikubwa hadi ukashindwa kujitambua? Kama jibu lako ni ndiyo je hali hiyo huathiri fikira zako hadi ukashindwa kujitambua?

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : jinsi ya kutambua ujumbe sahihi

Ninaamini unafahamu nini inabidi kifanyike ili yapatikane mawasiliano ya kauli. Kuna vitendo viwili vya kuzungumza na kusikiliza, unaelewa fika kuwa ili mchakato wa kutuma ujumbe ukamilike unatakiwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

 

10 years ago

Mwananchi

JITAMBUE:Je unajua kuwa una haja ya kujifunza tabia mpya katika maisha yako?

Je unaweza kuandika orodha ya tabia zako zote? Kama unaweza kuziandika zitenge katika makundi mawili. Kundi moja liwe la zile ambazo zinakusaidia na zenye manufaa hata kwa watu wengine na kundi la pili ni zile ambazo hazina maana na hata zinawaudhi watu wengine. Kama utafanya zoezi hili kwa uaminifu huku ukiamini hakuna atakayeiona orodha yako kuna mambo mawili ambayo huenda ukafikiria kuyafanya.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je unajua namna ya kutumia muda vizuri?

Zamani niliwahi kusoma kisa cha mfalme mmoja aliyeitwa Mautiktiki. Sikumbuki alikuwa wa taifa gani. Nadhani alikuwa Myunani wengine husema Mgiriki. Mfalme Mautikitiki alikuwa mtu aliyependa kufanya kazi mbalimbali za maendeleo ya watu wa miliki yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?

Je, ukikutana na mtu njiani, akakuuliza kama una matatizo katika maisha yako, utamjibu vipi?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani