SAIKOLOJIA : Je unajua namna ya kutumia muda vizuri?
Zamani niliwahi kusoma kisa cha mfalme mmoja aliyeitwa Mautiktiki. Sikumbuki alikuwa wa taifa gani. Nadhani alikuwa Myunani wengine husema Mgiriki. Mfalme Mautikitiki alikuwa mtu aliyependa kufanya kazi mbalimbali za maendeleo ya watu wa miliki yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi13 Sep
SAIKOLOJIA : Je, unajua namna ya kujenga mawazo sahihi kuhusu watu wengine walivyo?
Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.
9 years ago
Mwananchi06 Dec
SAIKOLOJIA : Je, unajua maana ya akili?
Siku moja niliwakuta walimu watatu wakibishana kuhusu uwezo wa wanafunzi wao. Mmoja alisema John ana akili zaidi kuliko Ali.
10 years ago
Mwananchi22 Feb
SAIKOLOJIA: Unajua jinsi mambo tunayoyafanya leo yalivyojengeka tangu tulipokuwa wadogo?
>Je kama ungetaka kujiunga na mashindo ya bahati nasibu ukaulizwa kama ungependelea uulizwe maswali yanayohusiana na hesabu au lugha ungechagua nini? Kama utaamua kujibu maswali ya hesabu badala ya lugha ina maana wewe ni hodari zaidi katika kutumia tarakimu kuliko kuchambua maneno na mawazo.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
SAIKOLOJIA & UTAFITI: Namna ya kupata ufadhili wa masomo au miradi
>Hongera ndugu yangu kwa kufika mwaka mpya wa 2014, ni suala la kumshukuru Mungu maana kuna wenzetu wengi ambao walikuwa na shauku ya kuingia mwaka huu lakini wameshindwa, wengine wamepatwa na mikasa mizito iliyoharibu kabisa ndoto zao.
9 years ago
Mwananchi16 Aug
SAIKOLOJIA : Namna ya kujenga mawazo kuhusu watu wengine walivyo
Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Je, unajua namna ya kuboresha haiba yako?
Je, ukikutana na mtu akakuuliza kama una haiba utamjibu vipi? Pengine huenda ukashindwa kumjibu kwa sababu hujui maana ya neno haiba. Siku moja nilimsikia mtu fulani akimwambia mwenzake.
10 years ago
Mwananchi19 Jul
SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?
Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.
10 years ago
Mwananchi02 Aug
SAIKOLOJIA : Jinsi ya kutumia propaganda katika maisha yako
Mmoja wa wasomaji wangu aliyesoma makala yangu niliyoitoa Septemba 2014 niliyoiita “Propaganda za Wafanyabiashara†ameniomba nieleze zaidi kuhusu propaganda. Hususan, nieleze kama propaganda hutumika katika biashara tu au hata katika shughuli nyingine na kama propaganda ni kitu kizuri au kibaya.
10 years ago
GPLWANAWAKE KUFUNDISHWA NAMNA YA KUTUMIA FURSA
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Trumark, Agness Mgongo, akiwa katika studio za Global Tv Online kwa ajili ya mahojiano. Zulekha Samwix wa Trumark akisubiri mahojiano na Global TV. ...Wakipozi…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania