Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAIKOLOJIA : Je, unajua maana ya akili?

Siku moja niliwakuta walimu watatu wakibishana kuhusu uwezo wa wanafunzi wao. Mmoja alisema John ana akili zaidi kuliko Ali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je unajua namna ya kutumia muda vizuri?

Zamani niliwahi kusoma kisa cha mfalme mmoja aliyeitwa Mautiktiki. Sikumbuki alikuwa wa taifa gani. Nadhani alikuwa Myunani wengine husema Mgiriki. Mfalme Mautikitiki alikuwa mtu aliyependa kufanya kazi mbalimbali za maendeleo ya watu wa miliki yake.

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA: Unajua jinsi mambo tunayoyafanya leo yalivyojengeka tangu tulipokuwa wadogo?

>Je kama ungetaka kujiunga na mashindo ya bahati nasibu ukaulizwa kama ungependelea uulizwe maswali yanayohusiana na hesabu au lugha ungechagua  nini? Kama utaamua kujibu maswali ya hesabu badala ya lugha ina maana wewe ni hodari zaidi katika kutumia tarakimu kuliko kuchambua maneno na mawazo.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unajua namna ya kujenga mawazo sahihi kuhusu watu wengine walivyo?

Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Kukosa amani ya akili huweza kufanya maisha yasiwe ya furaha

   Nilipowaza kuandika makala hii nilikuwa na wasiwasi kama wasomaji wangu wataelewa maana ya amani ya akili ni kitu gani hasa, kwa kuwa wamezoea kulitumia neno amani kuhusu jamii au taifa. Tumezoea kusikia watu wakisema nchi yetu ni ya amani.

 

10 years ago

GPL

DUDE: AKILI YANGU MBOVU NDIYO MAANA SIOI

Stori: Imelda Mtema/Risasi
STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba, amesema licha ya kuishi na mzazi mwenzie kwa zaidi ya miaka kumi, anashindwa kuoa kwa sababu akili yake siyo nzuri. Staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba. Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wetu, Dude alisema linapokuja suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu. “Mimi...

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?

Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.

 

9 years ago

Bongo Movies

Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray

"(FREEDOM OF SPEECH)

Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)

Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tunapoua akili asilia na kukimbilia akili bandia

“...Zamani tulifundishwa mbinu za kudhibiti malaria kuwa ni kuua mazalia ya mbu ili mbu wasiwepo; leo watoto wetu wanapotoshwa kuwa mbinu ya kudhibiti malaria ni kutumia chandarua.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unazijua mbinu za kushawishi?

Je katika maisha yako ya kila siku huwa unafanikiwa kumshawishi mtu kufanya jambo fulani? Linaweza kuwa jambo dogo tu kama vile kumshawishi mtu akuazime kalamu yake uandikie kwa sababu ni nzuri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani