DUDE: AKILI YANGU MBOVU NDIYO MAANA SIOI
![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El*JMqoAbUa-8LG*oV20xik83KbpRHQUd9M5pVxRYAc3fkziNlCLERAtSjA5Zv6j0tvUTWYvHnk9ZZuTjxwJtG9S/d.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema/Risasi STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba, amesema licha ya kuishi na mzazi mwenzie kwa zaidi ya miaka kumi, anashindwa kuoa kwa sababu akili yake siyo nzuri. Staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba. Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wetu, Dude alisema linapokuja suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu. “Mimi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Dude Asema Akili Yake ni Mbovu Ndiomana Anashindwa Kuoa
Mwigizaji nguli wa filamu za hapa Bongo, Kulwa Kikumba, amesema licha ya kuishi na mzazi mwenzie kwa zaidi ya miaka kumi, anashindwa kuoa kwa sababu akili yake siyo nzuri.
Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wa GPL, Dude alisema linapokuja suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu.
“Mimi akili yangu tu bwana ndiyo mbovu, hakuna kitu cha ziada ninachoweza kujitetea, kama kuona ningeoa siku nyingi sana,...
9 years ago
Mwananchi06 Dec
SAIKOLOJIA : Je, unajua maana ya akili?
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Kumbe ndiyo maana Tanzania haiendelei
10 years ago
Bongo529 Dec
Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69OIA-LpgM9bJLSfoaEoK5zFRztwsQLFG3ViWoMVpeZAtjZEf-sK-tpgx1a4zH5sI5lpXw7j4juJjKKq0ueqG5-/GWAJIMA2.jpg?width=650)
NI WENYE AKILI PEKEE NDIYO WATAKAOMWELEWA GWAJIMAU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjZpBe4MtrSFZrSsen0GxznU5v5SXufMuLLMKmysc7k3Vc3pnqNsRYKutDo23A10Mok4K5OU9RxA25Vy41RWOCZn/CHEKANAKITIME.jpg)
HAYA NDIYO MALENGO YANGU 2015!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6aBJIQTwXqC*yPRVFg1q9PyOqyVT4WBIXVN8OUHS0tAB37fQ7KoauItL7QSrK-eE4rWkxzG0kdhBsvSA16toGSZ/MASOGANGE.jpg?width=650)
MASOGANGE: MAKALIO YANGU NDIYO KILA KITU
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Hii ndiyo siri yangu-Mzee Yusuph
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Wema: Safari Yangu ya Siasa Ndiyo Kwanza Inaanza
Nilivyo amua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa, ila dunia bado inazunguka. Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu, yananipa moyo.
Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu mpya ya kuthubutu upya. 2015 ni mwaka wa kipekee kwenye muamko wa vijana Tanzania. Bigger things loading.. Most of all Nilizaliwa nikiwa katika Chama Cha Mapinduzi na nitakufa nikiwa...