Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAIKOLOJIA : Namna ya kujenga mawazo kuhusu watu wengine walivyo

Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unajua namna ya kujenga mawazo sahihi kuhusu watu wengine walivyo?

Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unao uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?

Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo. Iwapo wewe ni miongoni mwa watu wenye fikra hizi, jiulize kama unaweza kuishi bila kuongea na watu, Je huwa haitokei ukamweleza mtu au watu mawazo ambayo ungependelea wayaelewe na kuafikiana na wewe.

 

11 years ago

Mwananchi

Je una uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?

Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je unajua namna ya kutumia muda vizuri?

Zamani niliwahi kusoma kisa cha mfalme mmoja aliyeitwa Mautiktiki. Sikumbuki alikuwa wa taifa gani. Nadhani alikuwa Myunani wengine husema Mgiriki. Mfalme Mautikitiki alikuwa mtu aliyependa kufanya kazi mbalimbali za maendeleo ya watu wa miliki yake.

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA & UTAFITI: Namna ya kupata ufadhili wa masomo au miradi

>Hongera ndugu yangu kwa kufika mwaka mpya wa 2014, ni suala la kumshukuru Mungu maana kuna wenzetu wengi ambao walikuwa na shauku ya kuingia mwaka huu lakini wameshindwa, wengine wamepatwa na mikasa mizito iliyoharibu kabisa ndoto zao.

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : unavyoweza kujenga uhusiano bila ya kuzungumza

Je, umewahi kusikia watu wakieleza tabia za mtu kutokana na jinsi anavyoonekana na vitendo vyake bila hata kumsikia akisema? Watu huweza kusema: “Yule ana roho mbaya wala hapendi watu hata mkikutana naye hakuonyeshi tabasamu wala hakuchangamkii.”

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA: Unaweza kufanya watu wakuthamini?

Je unathaminiwa na watu katika jamii? Kama unathaminiwa ni mambo gani yanayokufanya uone kuwa unathaminiwa na kuhisi hivyo?

 

10 years ago

Mwananchi

Ufahamu ugonjwa wa pumu na jinsi watu wengi walivyo hatarini

Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko uvimbe sugu mwilini kwenye mirija yake ya kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii na kuwa na ute mzito hivyo kupungua kwa njia ya kupitishia hewa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tumia muda wako kujenga maisha yako sio kubomoa ya wengine!

WAHENGA walisema, akili ni nywele na kila mtu ana zake, kwa msemo huo, mimi binafsi nakubaliana nao moja kwa moja kwa kuwa katika hali ya kawaida kila binadamu ana nywele...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani