Tanesco: Mgodi wa Kidatu bado una uwezo
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema mgodi wa kufua umeme uliojengwa Kidatu Morogoro mwaka 1975, bado una uwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha. Kauli hiyo,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Tanesco yazima mitambo mitatu bwawa la Kidatu
10 years ago
TheCitizen19 Sep
Tanesco plans for Kidatu dam repair to cost billions
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Kidatu inaweza kuzalisha umeme bado
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika bwawa la Kidatu, mkoani Morogoro mwaka 2011.Kushoto ni meneja wa TANESCO wa mkoa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera.
Na Mwandishi wetu
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema Mgodi wa wa kufua umeme, uliojengwa Kidatu, Morogoro 1975, bado zinauwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha.
Kauli hiyo ilitolewa, Meneja wa Mgodi huo Injinia Joseph Lyaruu, wakati ziara ya wandishi wa...
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Je una uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?
9 years ago
Bongo520 Oct
Una kipaji au uwezo wa kuandika mashairi? Badilisha Poetry X-Change ipo njiani kuja Tanzania
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/bBE8eiH8od4/default.jpg)
GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/06/james-660x400.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Uwezo wa vyuo vikuu kuchukua wanafunzi wa sayansi bado changamoto kwa Tanzania kutimiza malengo ya EFA
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa wadau wa sekta ya elimu pamoja na washirika wa maendeleo.(Picha...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_0341.jpg?width=650)
UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA TANZANIA KUTIMIZA MALENGO YA EFA
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Pamoja na kustaafu soka Rene Higuita bado ana uwezo wa kuokoa goli kwa style yake ya Scorpion kick (+Video)
Golikipa wa zamani wa kimataifa wa Colombia Rene Higuita ambaye amewahi kuingia katika headlines mwaka 1995 katika mechi ya kirafiki kati ya Colombia dhidi ya Uingereza kwa stahili yake ya kipekee ya uokoaji mipira kwa stahii ya “Scorpion kick” stahili ambayo hakuna kipa ambaye amewahi kuicheza kwa ufasaha na katika mechi muhimu. Kwa sasa golikipa huyo ambaye […]
The post Pamoja na kustaafu soka Rene Higuita bado ana uwezo wa kuokoa goli kwa style yake ya Scorpion kick (+Video) appeared...