Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYA BIASHARA JIJINI MBEYA WAENDELEA KUJIVUNIA UHODARI WA MAKUFULI YAO KATIKA MGOMO UNAO ENDELEA NCHINI

 Taswira mbalimbali zikionyesha hali ya kufungwa kwa maduka jijini Mbeya kufuatia mgomo wa wafanya biashara unaoendelea nchi nzima.eneo lote la Soko la Mwanjelwa kimyaaaamitaa yote kufuli tuuu.wafanya biashala wakiwa wameketi nje ya maduka yao.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya. Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leoBOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

MADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO

 Umati wa abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungu huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar. Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.

 Mmoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
 Katika kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi wanaojihusisha katika biashara ya ngono kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu

Idadi inayoongezeka ya wanafunzi huuza picha za utupu na mengineyo katika mitandao ili kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu, utafiti umebaini.

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO JIJINI MBEYA LEO KUTOKANA NA MGOMO WA MADEREVA UNAOENDELEA NCHI NZIMA

Madereva wengi nchini wamefanya mgomo wa vyombo vya usafiri, tangu jana asubuhi mpaka leo ambapo bado haijajulikana hatma ya mgomo huo, wakazi wa jiji la mbeya wajikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na adha ya usafiri kutokana na vyombo hivyo kuweka mgomo, wasafiri wa mikoa na wilaya mbali mbali bado wapo katika hali ngumu sambamba na wanafunzi wasomao mbali kidogo na mji wa jiji la Mbeya.picha zote na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.Sehemu wa Madereva wa Mabasi jijini Mbeya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU UHABA WA SUKARI NCHINI,AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUZINGATIA BEI ELEKEZI

Na. Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kuwahasa wauzaji kuzingazia bei elekezi.

Mhe.Bashungwa ameyasema hayo jana Mei 14, 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari tani 20,000 ikishushwa na meli kutoka Nchini Uganda iliyoagizwa na kiwanda cha kagera sugar kwa ni...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Afisa Tawala, Idara ya Wakimbizi, Jeremia Chuma akitoa maelezo kwa Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha, kuhusu huduma zinazotolewa kwa wakimbizi nchini, wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Dar es Salaam. Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha , akisaini kitabu alipowasili katika banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kushiriki katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya

skylight band 2

Meneja  wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.

skylight band

Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani