Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Juliana anasa kwa Mr Flavour

ed3BoQtNAIROBI, KENYA

NYOTA wa muziki nchini Uganda, Juliana Kanyomozi, ameonekana kunasa kwenye penzi la msanii wa Nigeria, Chinedu Okoli ‘Mr Flavour’, baada ya kukutana nchini Kenya katika maonyesho ya Coke Studio.

Wasanii hao wamekutana nchini humo kwa ajili ya muziki uliokutanisha wasanii mbalimbali kutoka Afrika, ambapo wanafanya muziki kwa kushirikiana, lakini ukaribu wa Mr Flavour na Juliana umewafanya mashabiki wao kudhani kuna lingine zaidi ya muziki baina yao.

Mitandao mbalimbali nchini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHILOLE ANASA KWA MZUNGU

Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake. Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mchumba wake. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu ambaye huwa anamuita...

 

10 years ago

GPL

KHLOE ANASA TENA KWA MCHEZA KIKAPU

Mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian. Las Vegas, Marekani
HAKUNA kulaza damu! Unaweza kusema hivyo kufuatia mrembo na mwanamitindo, Khloe Kardashian, kupata mpenzi mpya James Harden ambaye ni mcheza kikapu wa NBA kama ilivyokuwa kwa aliyekuwa mumewe wa ndoa, Lamar Odom. Khloe alionekana akiwa na staa huyo wa Ligi ya Kikapu ya Marekani anayechezea timu ya Houston Rockets, wakiwa ‘close’ huko Las Vegas wikiendi...

 

9 years ago

Global Publishers

Flavour atoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki wake

Flavour-BN-2015-1Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Mr Flavour.

MWIMBAJI maarufu wa Nigeria, Flavour Na’abalia, ametoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki na wapenzi wake.

Mwimbaji huyo aliyetamba na kibao cha ‘Golibe’ ambaye anasemekana kuwa katika ‘mahaba niue’ na mwimbaji maarufu wa kike wa Nigeria, Chidimma Ekile, ametoa kadi hizo zenye picha yake ambazo zinamwonyesha akiwa na taswira ya kuvutia.

imageKatika picha hiyo, Flavour anaonyesha mwili wake wa kuvutia, tatuu kibao na akiwa kifua...

 

10 years ago

GPL

MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI

Kampala, Uganda Habari kutoka nyumba ya jirani nchini Uganda ikufikie kwamba aliyekuwa mume wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kunasa penzi la shosti wa kufa na kuzikana wa mkewe huyo aitwaye Stella Nankya, Ijumaa Wikienda limetonywa. Aliyekuwa mume wa Zari akiwa na mpenzi wake mpya ambaye ni shosti wa kufa na...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Juliana Kanyomozi — Woman

Tazama video mpya ya muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi ya wimbo wake ‘Woman’.

 

10 years ago

TheCitizen

Juliana: The toughest time in my life

Behind the unequivocal beauty, curvy frame and a mellifluous voice is an immensely strong woman with a great story.

 

11 years ago

GPL

JULIANA KANYOMOZI AFIWA NA MWANAYE

Juliana akiwa na mwanaye Keron enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI maarufu nchini Uganda, Juliana Kanyomozi, leo asubuhi amempoteza mwanaye wa kiume, Keron (11) aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pumu. Keron amefariki akiwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi, Kenya alipokuwa akitibiwa. Juliana Kanyomozi. Taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa Facebook wa Fenon Records inayofanya kazi na staa huyo ilisema:
"Mtoto pekee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani