JULIANA KANYOMOZI AFIWA NA MWANAYE
Juliana akiwa na mwanaye Keron enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI maarufu nchini Uganda, Juliana Kanyomozi, leo asubuhi amempoteza mwanaye wa kiume, Keron (11) aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pumu. Keron amefariki akiwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi, Kenya alipokuwa akitibiwa. Juliana Kanyomozi. Taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa Facebook wa Fenon Records inayofanya kazi na staa huyo ilisema: "Mtoto pekee...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Feb
New Video: Juliana Kanyomozi — Woman
11 years ago
Dewji Blog30 May
Lady Jaydee, Juliana Kanyomozi and Jamila Mbugua named Oriflame Beauty ambassadors
From left: Henrik Johannesson( Vice President of Oriflame Africa), Lady Jaydee, Jamila Mbugua(Kenyan Musician), Klas Kronaas (Managing Director Oriflame East Africa) posing for a photo after announcing them to endorse Oriflame beauty and cosmetic line in East Africa.
Swedish beauty company, Oriflame Cosmetics, has announced the appointment of three renowned Eastafrican celebrities as brand ambassadors. The three Lady Jaydee, Juliana Kanyomozi and Jamila Mbugua, will represent the...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/KKHJJMJD-standing.jpeg)
LADY JAYDEE, JULIANA KANYOMOZI AND JAMILA MBUGUA NAMED ORIFLAME BEAUTY AMBASSADORS
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7JAc5CeHqZ2ADe91aNIcnh1YkhMbYTDSbejCa1w28uDcYIf*eZ*cS-WWXRtcQRf23OxylFbZpbWkugjbLhjo35jSitJ2QZSi/BREAKINGNEWS.gif)
FRANK AFIWA NA MWANAYE WA KIUME
10 years ago
TheCitizen20 Feb
Juliana: The toughest time in my life
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Juliana anasa kwa Mr Flavour
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Uganda, Juliana Kanyomozi, ameonekana kunasa kwenye penzi la msanii wa Nigeria, Chinedu Okoli ‘Mr Flavour’, baada ya kukutana nchini Kenya katika maonyesho ya Coke Studio.
Wasanii hao wamekutana nchini humo kwa ajili ya muziki uliokutanisha wasanii mbalimbali kutoka Afrika, ambapo wanafanya muziki kwa kushirikiana, lakini ukaribu wa Mr Flavour na Juliana umewafanya mashabiki wao kudhani kuna lingine zaidi ya muziki baina yao.
Mitandao mbalimbali nchini...
11 years ago
Michuzi21 Jun
5 years ago
BBCSwahili14 May
Mwanamuziki wa kike wa Uganda Juliana Kanyamozi ajifunguwa mtoto wa kiume