Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FRANK AFIWA NA MWANAYE WA KIUME

Mohammed Mwikongi ‘Frank’. MUIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ amefiwa na mwanaye mchanga wa kiume aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JULIANA KANYOMOZI AFIWA NA MWANAYE

Juliana akiwa na mwanaye Keron enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI maarufu nchini Uganda, Juliana Kanyomozi, leo asubuhi amempoteza mwanaye wa kiume, Keron (11) aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pumu. Keron amefariki akiwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi, Kenya alipokuwa akitibiwa. Juliana Kanyomozi. Taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa Facebook wa Fenon Records inayofanya kazi na staa huyo ilisema:
"Mtoto pekee...

 

9 years ago

Bongo Movies

Frank Kustaafu Filamu

Staa mkongwe wa bongo Movies, Mohammed Mwikongwi ‘Frank’ amesema atastaafu fani ya uchezaji wa filamu endapo atashinda kiti cha ubunge cha jimbo la Segerea, Dar es Salaam katika muchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

‘Frank’ ambaye anagombea kiti hicho kwa tiketi ya ACT alisema akishinda hatojihusisha  na filamu kwani hatowezakufanya mambo mawilikwa wakati mmoja.

Frank ni mmoja wa wasanii wawili wa filamu wanaogombea Ubunge akiwemo ‘Kingwendu’ anayewania ubunge kwa tiketi ya CUF huko...

 

10 years ago

Mwananchi

Frank atema nyongo

Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.

 

10 years ago

GPL

FRANK: RIYAMA ANANIZIBIA!

Nyota wa filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank. Stori: Hamida Hassan na Shani Ramadhani
NYOTA wa filamu za Kibongo, Mohammed Mwikongi maarufu kama Frank, amedai kuwa msanii mwenzie Riyama Ally anamzibia riziki kiasi kwamba sasa anamsaka ili amweleze kitu gani aliwahi kumkosea. Akizungumza jijini hivi karibuni, Frank alisema anamtafuta Riyama ili aweze kumwambia ni kwa nini inakuwa hivyo kwa sababu katika...

 

10 years ago

GPL

CLOUD AKANA KUMFITINI FRANK

Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah
MSANII mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’ amekana tuhuma zinazosambazwa mtandaoni kuwa alimfitini muigizaji mwenzake, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ ili kumzuia asisafiri kuelekea Uingereza miezi michache iliyopita. Msanii mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’. “Mimi sikumfitini Frank, yule mtu alinifuata mwenyewe kwa makubaliano ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Frank: Soko la Filamu Linatisha

Msanii mahiri katika tasnia ya uigizaji, Mohammed Mwikongi ‘Frank’, amesema anapenda sana kufanya kazi ya uigizaji lakini soko la Tanzania linamkatisha tamaa ya kufanya kazi hiyo.

Frank alisema, amekuwa kimya kwasababu ya soko la uzambazaji kuharibiwa na baadhi ya wadau na wasambazaji wa filamu Tanzania.

Alisema mpaka sasa ameshaandaa muvi tano lakini anashidwa kuzitoa kutokana na kutoridhishwa na soko la uuzaji wa filamu .

“Kazi ya sanaa ndio kazi yangu ninayoitegemea kuendesha familia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Frank Lampard kuaga Chelsea

Kiungo cha kati,Frank Lampard kuondoka Chelsea baada ya kuichezea kwa miaka 13.

 

10 years ago

CloudsFM

Noorah afiwa na mkewe

Msanii wa Bongo Fleva,Noorah amefiwa na mkewe,akizungumza na clouds fm alisema kuwa mkewe alikuwa akisumbuliwa na kifua na mazishi yanafanyika mkoani Morogoro.

 

9 years ago

Michuzi

INTRODUCING NEW MUSIC BY FRANK MWANGOKA - "SIRI"


                                                                                                   DOWNLOAD HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani