Frank: Soko la Filamu Linatisha
Msanii mahiri katika tasnia ya uigizaji, Mohammed Mwikongi ‘Frank’, amesema anapenda sana kufanya kazi ya uigizaji lakini soko la Tanzania linamkatisha tamaa ya kufanya kazi hiyo.
Frank alisema, amekuwa kimya kwasababu ya soko la uzambazaji kuharibiwa na baadhi ya wadau na wasambazaji wa filamu Tanzania.
Alisema mpaka sasa ameshaandaa muvi tano lakini anashidwa kuzitoa kutokana na kutoridhishwa na soko la uuzaji wa filamu .
“Kazi ya sanaa ndio kazi yangu ninayoitegemea kuendesha familia...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies28 Sep
Frank Kustaafu Filamu
Staa mkongwe wa bongo Movies, Mohammed Mwikongwi ‘Frank’ amesema atastaafu fani ya uchezaji wa filamu endapo atashinda kiti cha ubunge cha jimbo la Segerea, Dar es Salaam katika muchaguzi mkuu wa mwezi ujao.
‘Frank’ ambaye anagombea kiti hicho kwa tiketi ya ACT alisema akishinda hatojihusisha na filamu kwani hatowezakufanya mambo mawilikwa wakati mmoja.
Frank ni mmoja wa wasanii wawili wa filamu wanaogombea Ubunge akiwemo ‘Kingwendu’ anayewania ubunge kwa tiketi ya CUF huko...
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
KIMENUKA! Cloud Amfanyia Fitna Frank Mwikongi Deal La Kwenda Kufanya Filamu Uingereza, Ushahidi Wasambaa.
Mambo hadharani !...Haya ni mapya yameibuka leo bila chenga. muigizaji wa filamu nchini Issa Musa "Cloud 112" anadaiwa kumfanyia fitna na majungu star mwenzake wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi katika deal la kucheza filamu lililotokea nchini Uingereza hivi karibuni.
Kwa ,mujibu wa Didas Fashions ambaye ndiye mtengenezaji wa filamu hiyo ya Mateso Yangu Ughaibuni chaguo la kwanza la filamu hiyo alikuwa ni Frank Mwikongi na walizungumza mwanzo na kuafikiana Frank alipwe mil.2 kama...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Aunt Ezekiel: Soko la filamu linashuka
NYOTA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amesema filamu za Tanzania zinaelekea pabaya kutokana na soko hilo kushuka kiuchumi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Aunt alisema, ni wazi kulingana na tulipotoka,...
10 years ago
Bongo Movies29 Apr
Jini Kabula Ataja Mchawi wa Soko la Filamu
Staa mrembo wa Bongo Movies, Mariam Jolwa ‘Jini Kabula’ amesema kuwa anguko la soko la filamu za Bongo asitafutwe mchawi, kwani wasanii wengi wanaigiza chini ya kiwango na ndiyo maana kazi zao hazifanyi vizuri, licha ya kutumia gharama kubwa kuziandaa.
Akizungumza na gazeti la Mtanzania, Dar es Salaam jana, Jini Kabula alisema kuwa ni filamu chache zinazofanya vizuri sokoni, ikiwemo ya Chozi la Wanjaa iliyochezwa na Aunt Ezekiel, Kulwa Kikumbi ‘Dude’...
9 years ago
Bongo Movies08 Oct
Dr Cheni Afungukia Tatizo ya Umeme Kuyumbisha Soko la Filamu
Msanii wa filamu, Dr Cheni amesema kuwa biashara ya filamu kwa sasa imeshuka kutokana na tatizo la umeme linaloendelea.
Dr Cheni ameambia Bongo5 kuwa mawakala wanalalamika kushindwa kuuza kazi za filamu kama walivyotarajia kutokana na tatizo la umeme.
“Soko la filamu sasa hivi linasumbua kutokana na haya matatizo ya umeme,” amesema Cheni. “Umeme ukisumbua na soko la filamu linayumba kwa sababu sisi wateja wetu wanatumia umeme, sasa hata wazalishaji wa kazi zetu wanaogopa kuzalisha kazi...
10 years ago
Michuzi06 Jul
SOKO LA FILAMU NA MUZIKI LAPOROMOKA KWA KASI NCHINI
![SAM_3481](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/ZefivX_aoDottKBoexcdNKJtaDphMuSK6PWbBZca7KSaWkKNB0qU60ppR3UnD4qV-tZcUaIyIpz9jS0jkoz3VRVrXg1x8jVydxOzxr3bRLbAzIM=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/07/sam_3481.jpg)
9 years ago
Bongo508 Oct
Dr Cheni adai soko la filamu limeyumba kutokana na tatizo la umeme!
9 years ago
Bongo518 Sep
Aunt Ezekiel adai wasambazaji wanaua soko la filamu Tanzania
9 years ago
Bongo512 Nov
Steps wadai filamu za nje zinaua soko la movie za kibongo
![11796346_858648140856198_5910047054412595256_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11796346_858648140856198_5910047054412595256_n-300x194.jpg)
Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini, Steps Entertainment imesema kuongeza kwa filamu za nje nchini kumeharibu soko la filamu za wasanii wa ndani.
Akizungumza na Bongo5 jana, meneja wa makoso wa Steps, Kambarage Ignatus alisema uwezo wa Steps umeshuka kutoka kwenye kusambaza filamu 14 kwa mwezi hadi filamu 6 mpaka 8.
“Filamu za nje zimeharibu soko, sisi tunauza filamu shilingi 4000-5000, filamu za nje zinauzwa shilingi 700-1000. Sisi wateja wetu wengi ni third class halafu ni wanawake na...