Frank Kustaafu Filamu
Staa mkongwe wa bongo Movies, Mohammed Mwikongwi ‘Frank’ amesema atastaafu fani ya uchezaji wa filamu endapo atashinda kiti cha ubunge cha jimbo la Segerea, Dar es Salaam katika muchaguzi mkuu wa mwezi ujao.
‘Frank’ ambaye anagombea kiti hicho kwa tiketi ya ACT alisema akishinda hatojihusisha na filamu kwani hatowezakufanya mambo mawilikwa wakati mmoja.
Frank ni mmoja wa wasanii wawili wa filamu wanaogombea Ubunge akiwemo ‘Kingwendu’ anayewania ubunge kwa tiketi ya CUF huko...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies25 Aug
Frank: Soko la Filamu Linatisha
Msanii mahiri katika tasnia ya uigizaji, Mohammed Mwikongi ‘Frank’, amesema anapenda sana kufanya kazi ya uigizaji lakini soko la Tanzania linamkatisha tamaa ya kufanya kazi hiyo.
Frank alisema, amekuwa kimya kwasababu ya soko la uzambazaji kuharibiwa na baadhi ya wadau na wasambazaji wa filamu Tanzania.
Alisema mpaka sasa ameshaandaa muvi tano lakini anashidwa kuzitoa kutokana na kutoridhishwa na soko la uuzaji wa filamu .
“Kazi ya sanaa ndio kazi yangu ninayoitegemea kuendesha familia...
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
KIMENUKA! Cloud Amfanyia Fitna Frank Mwikongi Deal La Kwenda Kufanya Filamu Uingereza, Ushahidi Wasambaa.
Mambo hadharani !...Haya ni mapya yameibuka leo bila chenga. muigizaji wa filamu nchini Issa Musa "Cloud 112" anadaiwa kumfanyia fitna na majungu star mwenzake wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi katika deal la kucheza filamu lililotokea nchini Uingereza hivi karibuni.
Kwa ,mujibu wa Didas Fashions ambaye ndiye mtengenezaji wa filamu hiyo ya Mateso Yangu Ughaibuni chaguo la kwanza la filamu hiyo alikuwa ni Frank Mwikongi na walizungumza mwanzo na kuafikiana Frank alipwe mil.2 kama...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Frank atema nyongo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdio-d2kTvwCl7IQ7hGkHwwpL2nRb0Kq*tE10a1k-X-csnxRR0NRQsHdZDKyl79sCx9-JWdmGxOO3e8wcMGBXxi5/frank1.jpg?width=650)
FRANK: RIYAMA ANANIZIBIA!
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu
Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;
"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
Sakata la kushushwa kwa bei za filamu.Watayarishaji filamu nao waibuka