Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIMENUKA! Cloud Amfanyia Fitna Frank Mwikongi Deal La Kwenda Kufanya Filamu Uingereza, Ushahidi Wasambaa.

Mambo hadharani !...Haya ni mapya yameibuka leo bila chenga. muigizaji wa filamu nchini Issa Musa "Cloud 112" anadaiwa kumfanyia fitna na majungu star mwenzake wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi katika deal la kucheza filamu lililotokea nchini Uingereza hivi karibuni.
Kwa ,mujibu wa Didas Fashions ambaye ndiye mtengenezaji wa filamu hiyo ya Mateso Yangu Ughaibuni chaguo la kwanza la filamu hiyo alikuwa ni Frank Mwikongi na walizungumza mwanzo na kuafikiana Frank alipwe mil.2 kama...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWIGIZAJI MOHAMED MWIKONGI 'FRANK' ALIVYOTUA ACT NA KUKABISHIWA KADI

Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho. Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam. Naibu...

 

10 years ago

GPL

CLOUD AKANA KUMFITINI FRANK

Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah
MSANII mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’ amekana tuhuma zinazosambazwa mtandaoni kuwa alimfitini muigizaji mwenzake, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ ili kumzuia asisafiri kuelekea Uingereza miezi michache iliyopita. Msanii mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’. “Mimi sikumfitini Frank, yule mtu alinifuata mwenyewe kwa makubaliano ya...

 

11 years ago

GPL

CLOUD: WEZI WA FILAMU WAFUNGWE MIAKA 10

Na Elvan Stambuli    
MSANII wa filamu za Kibongo, Issa Mussa ‘Cloud’ amesema wasanii wa filamu nchini wanaibiwa sana kazi zao kutokana na sheria kuhusu sanaa hiyo kuwa dhaifu. Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Akizungumza na safu hii, huku akirekodiwa na ‘kruu’ ya Global TV Online, Cloud alisema ingefaa serikali ikabadili sheria ili wezi wa kazi za filamu...

 

9 years ago

Bongo Movies

Frank Kustaafu Filamu

Staa mkongwe wa bongo Movies, Mohammed Mwikongwi ‘Frank’ amesema atastaafu fani ya uchezaji wa filamu endapo atashinda kiti cha ubunge cha jimbo la Segerea, Dar es Salaam katika muchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

‘Frank’ ambaye anagombea kiti hicho kwa tiketi ya ACT alisema akishinda hatojihusisha  na filamu kwani hatowezakufanya mambo mawilikwa wakati mmoja.

Frank ni mmoja wa wasanii wawili wa filamu wanaogombea Ubunge akiwemo ‘Kingwendu’ anayewania ubunge kwa tiketi ya CUF huko...

 

9 years ago

Bongo Movies

Frank: Soko la Filamu Linatisha

Msanii mahiri katika tasnia ya uigizaji, Mohammed Mwikongi ‘Frank’, amesema anapenda sana kufanya kazi ya uigizaji lakini soko la Tanzania linamkatisha tamaa ya kufanya kazi hiyo.

Frank alisema, amekuwa kimya kwasababu ya soko la uzambazaji kuharibiwa na baadhi ya wadau na wasambazaji wa filamu Tanzania.

Alisema mpaka sasa ameshaandaa muvi tano lakini anashidwa kuzitoa kutokana na kutoridhishwa na soko la uuzaji wa filamu .

“Kazi ya sanaa ndio kazi yangu ninayoitegemea kuendesha familia...

 

10 years ago

GPL

CLOUD NA WENZAKE KUZINDUA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ ILIYOREKODIWA UINGEREZA

Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Mkongwe wa filamu za Kibongo, Yvonney Cherry ‘Monalisa’. Mastaa wa filamu za Kibongo, Riyama Ali na Wastara Juma. FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza  na wasanii  Issa Musa ‘Cloud 112’,  Riyama Ally, Wastara Juma  na Monalisa itazinduliwa Alhamisi hii katika viwanja vya Leaders, jijini...

 

10 years ago

Africanjam.Com

STEVEN GERRARD NA FRANK LAMPARD KUIAGA LIGI YA UINGEREZA WEEKEND HII

Vitabu vya historia vya ligi kuu ya England hususan timu za Chelsea na Liverpool vinatarajia kufungwa mwishoni mwa wiki hii wakati ambapo wachezaji wawili wa zamani wa timu ya taifa ya England watakapokuwa wanazichezea klabu zao kwa mara moja ya mwisho .Frank Lampard ambaye anacheza kwa mkopo kwenye klabu ya Manchester City toka klabu ya New York City Fc iliyomsajili toka Chelsea na mwenzie Steven Gerard wa Liverpool wanatarajiwa kupunga mkono wa kwaheri kwa ligi kuu ambapo watakuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia fursa zinazotolewa na serikali

IMG_20150130_130513

Mwanahabari Frank Kibiki  akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.

Na Mwandishi wetu, Iringa

MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10.

Akizungumza na mtandao huu mwanahabari Frank Kibiki, alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.

“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi Uingereza kwenda Sierra Leone

Uingereza inapeleka askari 750 kwenda Sierra Leone kusaidia kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani