CLOUD NA WENZAKE KUZINDUA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ ILIYOREKODIWA UINGEREZA
Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Mkongwe wa filamu za Kibongo, Yvonney Cherry ‘Monalisa’. Mastaa wa filamu za Kibongo, Riyama Ali na Wastara Juma. FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza na wasanii  Issa Musa ‘Cloud 112’, Riyama Ally, Wastara Juma na Monalisa itazinduliwa Alhamisi hii katika viwanja vya Leaders, jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Uzinduzi wa MATESO YANGU UGHAIBUNI Huko Uingereza
Uzinduzi wa filamu ya Mteso yangu ughaibuni umefanyika siku ya jumamosi tarehe 14, mwezi 3 mwaka huu Northampton, The Academy inchini uingereza kupitia kampuni ya Didas entertainment huku wageni rasmi wakiwa ni wasanii wawili kutoka bongo Yusuph Mlela na Esha buheti
Filamu hiyo iliyochezwa na mastaa Wastara Juma,Cloud 112,Riyama na waigizaji wengine kutoka London inasambazwa na kampuni moja ya usambazaji nchini Ghana na hii ni baada ya wasambazaji wa Tanzania kushindwa kuinunua. Kupitia...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Gp5r1JlQKRc/VAY8bPAOFQI/AAAAAAABBdI/MjWGzusSANw/s72-c/IMG_5525.jpg)
FILAMU YA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ KUZINDULIWA JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-Gp5r1JlQKRc/VAY8bPAOFQI/AAAAAAABBdI/MjWGzusSANw/s1600/IMG_5525.jpg)
Na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza na wasanii Issa Musa ‘Cloud 112’, Riyama Ally, Wastara Juma ...
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
Hatimaye Filamu ya "Mateso Yangu Ughaibuni” Kuingia Sokoni
Baada ya kutokea figisufigisu kwa muda sasa kati ya baadhi ya waigizaji na muaandaaji, hatimaye filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni itaingia sokoni hivi karibuni. Na hili ndio bandiko lililobandikwa mtandaoni na Didas Entertainment ambao ndio watengenezaji wa filamu hiyo.
“Shukrani kwanza ziende kwa Muumba pili kwa mama yangu mzazi. Kila jambo lenye kheri ukilifanyia subira huwa lina zaa kheri kubwa. Baada ya kushindwana Bei na ma distributors wa bongo, Kampuni moja ya waghana wameamua...
10 years ago
GPLIDD AZZAN, MAMA TUNU PINDA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA ‘MATESO YANGU UGHAIBUNI’
10 years ago
GPLDC AZINDUA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI', UZINDUZI WAFANA
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
KIMENUKA! Cloud Amfanyia Fitna Frank Mwikongi Deal La Kwenda Kufanya Filamu Uingereza, Ushahidi Wasambaa.
Mambo hadharani !...Haya ni mapya yameibuka leo bila chenga. muigizaji wa filamu nchini Issa Musa "Cloud 112" anadaiwa kumfanyia fitna na majungu star mwenzake wa filamu nchini Frank Mohamed Mwikongi katika deal la kucheza filamu lililotokea nchini Uingereza hivi karibuni.
Kwa ,mujibu wa Didas Fashions ambaye ndiye mtengenezaji wa filamu hiyo ya Mateso Yangu Ughaibuni chaguo la kwanza la filamu hiyo alikuwa ni Frank Mwikongi na walizungumza mwanzo na kuafikiana Frank alipwe mil.2 kama...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6r1KKFQeXTJkOfyg-P7SysKOmPFGRNGWOXVnj4QCZ4OVnuxHeVDm8stANYP*cyFlioGAxvtu0wKR5LwDhoz*pME/MSUDANI.jpg)
MATESO JUU YA MATESO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjblUot4UmsssXElg6iEMzRga2LZd-hc1nuQvHuiejcA5abwiE6celXlbv6Tnh*a*D3A-p9eyzwtFhCL7zwkapD14/CLOUD.jpg?width=650)
CLOUD: NITAMSHUSHIA ZA CHEMBE JB
9 years ago
BDlive29 Oct
Tanzania elections under a cloud
BDlive
BDlive
THREAT: Seif Sharif Hamad, opposition presidential candidate and secretary-general of the Civic United Front, speaks on Wednesday after Zanzibar annulled elections held at the weekend. Picture: AFP PHOTO/TONY KARUMBA ...
Why Next Election Will Be DifferentThe Star
Election was well-contested; organised, say observer teamDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)
Ukawa furious over Union presidential election resultsIPPmedia
Voice of...