Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatimaye Filamu ya "Mateso Yangu Ughaibuni” Kuingia Sokoni

Baada ya kutokea figisufigisu kwa muda sasa kati ya baadhi ya waigizaji na muaandaaji, hatimaye filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni itaingia sokoni hivi karibuni. Na hili ndio bandiko lililobandikwa mtandaoni na Didas Entertainment ambao ndio watengenezaji wa filamu hiyo.

“Shukrani kwanza ziende kwa Muumba pili kwa mama yangu mzazi. Kila jambo lenye kheri ukilifanyia subira huwa lina zaa kheri kubwa. Baada ya kushindwana Bei na ma distributors wa bongo, Kampuni moja ya waghana wameamua...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DC AZINDUA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI', UZINDUZI WAFANA

Mkuu wa Wilaya (DC)  Temeke, Mheshimiwa Sophia Mjema akihutubia kwa niaba ya mke wa waziri mkuu, Tunu Pinda, aliyetarajiwa kuwa mgeni rasmi, (hakufika) wakati wa uzinduzi wa filamu  hiyo. Muigizaji Esha Buheti akiwa katika zulia jekundu 'red carpet' kwa ajili ya kupiga picha kwenye uzinduzi wa filamu…

 

10 years ago

Bongo Movies

Uzinduzi wa MATESO YANGU UGHAIBUNI Huko Uingereza

Uzinduzi wa filamu ya Mteso yangu ughaibuni umefanyika siku ya jumamosi tarehe 14, mwezi 3 mwaka huu Northampton, The Academy  inchini uingereza  kupitia kampuni ya Didas entertainment huku wageni rasmi wakiwa ni wasanii wawili kutoka bongo Yusuph Mlela na Esha buheti

Filamu hiyo iliyochezwa na mastaa Wastara Juma,Cloud 112,Riyama na waigizaji wengine kutoka London inasambazwa na kampuni moja ya usambazaji nchini Ghana na hii ni baada ya wasambazaji wa Tanzania kushindwa kuinunua. Kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA ‘MATESO YA UGHAIBUNI’ KUZINDULIWA JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Didas Fashion, Khadija Ayoub Seif, (Wa pili toka Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelezea uzinduzi wa Filamu ya Mateso Ughaibuni inayotarajiwa kuzinduliwa siku ya Alhamis Septemba 4, 2014 katika viwanja vya Leadrs Club. Pembeni yake ni Rais Wa Bongo Movie Steve Nyerere na wasanii wengine.

Na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.FILAMU ya ‘Mateso Ughaibuni’ ambayo imerekodiwa Uingereza na wasanii Issa Musa ‘Cloud 112’, Riyama Ally, Wastara Juma ...

 

10 years ago

GPL

IDD AZZAN, MAMA TUNU PINDA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA ‘MATESO YANGU UGHAIBUNI’

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mheshimiwa Idd Azzan. Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda. MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Mheshimiwa Idd Azzan,  na mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, ni miongoni mwa wageni…

 

10 years ago

GPL

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO

Aisha Bui akiwa na Gabo katika moja ya scene... AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni siku ya jumatatu, itadhihiri kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi. Aisha… ...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO JUMATATU

 AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni leo, itadhihirisha  kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika. Ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi.“Najua kila mtu anakuwa na uwezo wake katika filamu lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi ndio maana mimi nimeamua kutumia kampuni yangu kutimiza ndoto zangu. Wiki hii Yuneda Entertainment...

 

10 years ago

GPL

FILAMU YA MAPENZI YA MUNGU KUINGIA SOKONI WIKI HII



Mwezi, Wiki na Sasa siku zimebaki kwa ile Filamu Mpya na ya Kusisimua ya MAPENZI YA MUNGU Kuingia Sokoni ambayo imewakutanisha wasanii mahiri wa hapa hapa Tanzania ambapo Mmoja kati ya Wasanii waliocheza filamu hiyo Ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayejulikana kama Linah Sanga, kwa Kushirikiana na Elizabeth Michael bila Kumsahau Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba watakuwa ndani ya filamu Mpya...

 

10 years ago

Bongo Movies

KALEKWA:Filamu Mpya ya Richie na Rose Ndauka Tayari Kuingia Sokoni

Ile filamu iliyokuwa ikusubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi,sasa ipo tayari imeshakamilika na inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la KALEKWA imefanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, na inawajumuisha waigiza Single Mtambalike ‘Richie’ na Rose Ndauka ambao kwa pamoja wamekuwa wakitengeneza mvuto mkumbwa kwa mashabika na wapenzi wa filamu hapa inchini.

Jana kupitia ukurasa wake kwenye  mtandao wa instagram, Richie ambaye ndio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani